DC mteule ndugu "Mchopanga" alisoma shahada ya kwanza bila kuwa na matokeo ya kidato cha sita licha ya kuisoma kwa miaka mitatu

uko na upungufu mkubwa sana wa kufikiri na kutafakari mambo
 
Usichanganye mambo sheikh,ukalinganisha Elimu yetu na Ya Kenya au ulaya,
Mtu anaweza akasoma akaishia mwaka wa pili havard,lakini huwezi ukamlinganisha na mtu aliyesoma miaka sita Udsm,
Hapa bongo,wapo vijana kutoka India,China wanafanya IT kwenye makampuni makubwa ya simu,ukiwaangalia ni wadogo kwa umri,huku kwetu ilibidi wawe sekondari au chuo mwaka wa 1,lakini ni ma expert wanafundisha wazee wa miaka 45+
 
Mkuu inatosha unatupiga madongo sana[emoji1787][emoji1787]
 
Waeleze hao wapuuzi wanaodhani form 6,ni wlimu ya muhimu
 
Yote uliyoandika hayaondoi ukweli si kila chuo cha nje cheti chake kinakubalika hapa nchini.
Ishu ni ujuzi wa Mtu au karatasi kama cheti

Mtu anafanya kazi Space X Marekani Graduate na ni mtanzania na amesoma chuo cha Massachuttess kwa miaka 4 unaweza mfananisha na Graduate wa Engineering kule Coet udsm asiyeweza hata kutengeneza software yeyote kwa miaka 4

Sasa kama wewe wa Coet unatambulika kwa cheti cha maandazi hakina msaada unasubiri kusimamia barabara za lami za mchina na majengo mabovu kurepair

Elimu ya Tanzania ni utopolo, Ndio maana serikali wanafanya marekebisho ya mitaala

Mitaala yetu haina msaada kwa wanafunzi

Unajifunza kiswahili Halafu unayarudia kwa Kiingereza secondary ni upuuzi
 
Kama ni Ngumi tu hapa umetupiga TKO.
 
uko na upungufu mkubwa sana wa kufikiri na kutafakari mambo
Huna exposure mkuu, Mfumo wetu wa shule Tanzania haupo na wala hautumiki ulaya

Ulaya hakuna Form Six, Content ulizosoma ndio zinakuwezesha kusoma kozi fulani

Wengi wamemaliza Form Four na kujiunga vyuo vikuu

Huko kutambulika ni kwa watoto maskini ambao mnategemea ajira serikalini
 
Elimu yetu lini ilikuwa credible? Katika watu wenye elimu nasisi utasema tuna elimu mzee? Sisi tuna shule tu ila elimu hakuna.
 
You said it all mkuu
 
Umenikumbusha machungu maana nimepoteza muda wangu nikisoma eti five na six; ujinga mtupu! Mwanangu akihitimu four anaenda chuo basi.
 
Vyeo vya hisani si vya kujadili,mhisani ndio anaamua nani anamtaka na kwa sababu gani,kupinga au kupongeza hakubadilishi matokeo
 
Elimu yetu lini ilikuwa credible? Katika watu wenye elimu nasisi utasema tuna elimu mzee? Sisi tuna shule tu ila elimu hakuna.
Elimu yetu ni trash. Lakini nakuhakikishia wengi wanaonda kusoma vichuo huko China, India, Turkey au Malaysia hasa undergraduate ni vyuo takataka kabisa grade ya mwisho.

Mara nyingi ni vyuo ambavyo huwa vinawinda tu wanafunzi kutoka Afrika kwasababu za kibiashara.

Huko China hata Lecture utapigwa na wahindi au waganda wababaishaji kwasababu mtaala ni English na wachina hawakijui.
 
Ila bongo si kuna kasumba kwamba ukisomea nje ati vyuo ni vizuri kuliko vya ndani
 
Fafanua kidogo sijaelewa
 
Ila bongo si kuna kasumba kwamba ukisomea nje ati vyuo ni vizuri kuliko vya ndani
Hiyo ilikuwa miaka 5, 10 kurudi nyuma. Sasa hivi watu wameanza kushtuka.

Watu walihamasishwa na recruitment agents kwasababu ukipeleka wanafunzi kuna mgawo wako unapata ( commision ).

Pita Quora ndio utapata picha halisi.

Wengine walienda halafu walivyorudi wakakuta vyuo vyao havitambuliki na TCU.

Wanafunzi wengi waliosoma huko hawana maajabu kabisa, yaani ni bora kama huna uwezo wa kusoma ulaya ukasoma hapa hapa tu.

Kenya, South Africa, Uganda pia ni better options.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…