johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkuu wa wilaya ya Hau mh Ole sabaya amewaonya matapeli wote waliojiingiza wilayani humo kwa lengo la kuwalaghai na kuwadhulumu wananchi wanyonge
Ole sabaya amesema hayo wakati aliposikiliza malalamiko ya wanakijiji wa Machame waliotapeliwa na taasisi moja ya kijamii ambayo haijasajiliwa na serikali.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
===
Mkuu wa Wilaya Ya Hai Lengai Ole sabaya ameiamuru TAKUKURU kuwakamata watu wawili ambao wamekuwa wakihamasisha wananchi kutoa pesa kati ya Elfu 22 hadi elfu 85 kwa madai ya kuwaletea chakula kwa miaka 5 na kuwapa Ajira.
Sabaya alifika Kijiji cha Tindigani
Wilayani Humo ambapo wananchi zaidi ya 300 walilalamikia taasisi ya United Mission Tanzania kwa kuchukua pesa zao kwa madai hayo, ambapo hata hivyo viongozi wa Taasisi hyo walikiri kuwa taasisi hiyo haikusajiliwa na imekuwa ikichukua fedha hizo katika Mkoa wa Kilimanjaro na Mikoa mingine minne kwa muda wa miaka mitatu sasa.