DC Ole Sabaya atoa onyo kwa taasisi ya United Mission, inayotapeli Wananchi Wilayani Hai

Huwa najiulizaga Mara mbilimbili watu wa chadema Kama wapo sawa kwenye ubongo.
Babati mbaya kabisa hadi viongozi wao wameshatumbukia huko
Endelea kuamini hivyo. Lakini kuna siku utakuja humu kuyafuta mwenyewe uliyoyaandika. Ni suala la muda tu utagundua ni upande gani wenye akili timamu.
 
Haihitaji kuwa na PhD kugundua huko chadema hakuna wenye akili timamu. Viongozi wanashangilia vifo vya uongo vya corona
 
Back
Top Bottom