Uchaguzi 2020 DC Ole Sabaya: Mungu ameiokoa Hai, ametupwa chini aliyewashtaki

Uchaguzi 2020 DC Ole Sabaya: Mungu ameiokoa Hai, ametupwa chini aliyewashtaki

Sabaya ni Mpumbavu tu kama walivo wapumbavu wengine wa hapo Lumumba.

Kama Mungu akihukumu hapohapo walitajae jina lake kwa makufuru, CCM Wasingekuapo.

Hata ivo Sio kila alitajae Jina lake Mungu ,Ni mpenzi wa Mungu.
Kiboko ya Mwenyekiti,tunatakiwa kwenda nae kwa uangalifu maana kamgaragaza Freeman
 
Aisee yaani anasoma maandiko ya kwenye biblia bila aibu kwa ule utapeli na wizi walioufanya; kutesa, kuteka watu bila hofu?

Halafu hao wapambe wamejawa na uoga wanajidai kumsikiliza kwa makini, kumbe wanafiki tu,watanzania sio wajinga na Mungu wa kweli hadhihakiwi.

Karma is a bitch.
 
Sabaya ni Mpumbavu tu kama walivo wapumbavu wengine wa hapo Lumumba.

Kama Mungu akihukumu hapohapo walitajae jina lake kwa makufuru, CCM Wasingekuapo.

Hata ivo Sio kila alitajae Jina lake Mungu ,Ni mpenzi wa Mungu.
Mathayo 7:21-23

“Si kila aniambiaye, ‘Bwana, Bwana’, ataingia katika ufalme wa mbinguni; ila ni yule tu anayetimiza matakwa ya Baba yangu aliye mbinguni. Wengi wataniambia siku ile ya hukumu: ‘Bwana, Bwana! Kwa jina lako tulitangaza ujumbe wako, na kwa jina lako tuliwatoa pepo na kufanya miujiza mingi’. Hapo nitawaambia: ‘Sikuwajua nyinyi kamwe; ondokeni mbele yangu, enyi watenda maovu.’
 
Aisee yaani anasoma maandiko ya kwenye biblia bila aibu kwa ule utapeli na wizi walioufanya; kutesa, kuteka watu bila hofu?

Halafu hao wapambe wamejawa na uoga wanajidai kumsikiliza kwa makini, kumbe wanafiki tu, Mungu wa kweli hadhihakiwi.

Karma is a bitch.
Ametumwa na mkulu
 
Kusema hana aibu ni understatement! It is beyond lunacy.
He is embodiment of what the country has become; a creepy, disgusting and despotic banana republic!
Yaani dhulma, uonevu, udhalimu yamekuwa mambo ya kushangiliwa! Embu oneni wanashangilia na kuimba nae wakijua kabisa alichofanya!

Halafu Mbowe ndio alikuwa anaomba maridhiano na hawa watu aisee!
 
Huyu jamaa nashindwa hata nimuitaje. Tunaongozwa na watu wasiostahili kabisa. Mwenyezi Mungu tusaidie baba, tunaangamia. Watanzania tunapitia kipindi kigumu sana. Pray for Tanzania.
Nchi inahitaji zaidi ya huruma ya Mungu. Hali inatisha na kusikitisha sana.
We are in a quagmire mbaya mno.
 
Back
Top Bottom