Uchaguzi 2020 DC Ole Sabaya: Mungu ameiokoa Hai, ametupwa chini aliyewashtaki

Uchaguzi 2020 DC Ole Sabaya: Mungu ameiokoa Hai, ametupwa chini aliyewashtaki

Mungu hadhihakiwi - hizi KUFURU mwisho wake uko karibu sana!
Hakika

Na hiyo itawajia saa na siku ambayo sisi binadamu hatuifahamu, isipokuwa yeye Mungu peke yake ndiyo anaijua hiyo siri ambayo atamdondosha huyo mkuu, ambaye amewatesa sana wananchi katika kiwango kisichoelezeka
 
What a retarded man!! in fact watu kama sabmbaya hayupo mmoja ni kuna kikundi cha wana wa hiyo dizain na wameteuliwa kwasababu
God save my people🙁
 
Hawa watu sijui mwenyekiti wa CCM aliwaokotea wapi! Maajabu
 
Hivi Biblia inatumiwa kwa dhihaka kiasi hiki? Ingekuwa enzi za agano la kale ardhi ingepasuka na wote hao wangefunikwa. Lakini sasa Neema ya Mungu ni nyingi mno.

Mungu tunangalie na sisi Tanzania, ni lini tutaondokana na watu kama hawa?
 
Hakika

Na hiyo itawajia saa na siku ambayo sisi binadamu hatuifahamu, isipokuwa yeye Mungu peke yake ndiyo anaijua hiyo siri ambayo atamdondosha huyo mkuu, ambaye amewatesa sana wananchi katika kiwango kisichoelezeka
Mhhhh
 
Bado hajafatu. Mijitu mingine mibishi sana.

Waiter unaweza kwenda kuwahudumia wengine pole kwa kuningojea mda mrefu. Ila kaa stendby.
 
Halafu hao wapambe wamejawa na uoga wanajidai kumsikiliza kwa makini, kumbe wanafiki tu,watanzania sio wajinga na Mungu wa kweli hadhihakiwi.
hawa ndio watu wanaotakiwa na awamu hii ya 5! nahisi shetwani kaweka kambi yake Tz.
 
Mbona huyo Ole nimemuona jana kwenye taarifa ta habari ya saa mbili usiku ITV? Au ni hbr ya zamani?
 
Kwa hiyo wewe umeungana na shoga Amsterdam na upumbavu wake?
Wewe na lisu mwanasheria wa kimataifa mmeshindwa au?
Kwa hiyo Amsterdam na kundi lake wataonekana mashoga na wapumbavu kuwahi kutokea.
Hawakushauriwa au walitaka kutumia miujiza?
Unajua hii lugha yako inaweza kukupeleka mahali pabaya hadi ukajutia huu upumbavu wako?
Anyway andika yako unaonekana huna akili timamu kichwani.
 
Back
Top Bottom