Uchaguzi 2020 DC Ole Sabaya: Mungu ameiokoa Hai, ametupwa chini aliyewashtaki

Uchaguzi 2020 DC Ole Sabaya: Mungu ameiokoa Hai, ametupwa chini aliyewashtaki

Huyu jamaa nashindwa hata nimuitaje. Tunaongozwa na watu wasiostahili kabisa. Mwenyezi Mungu tusaidie baba, tunaangamia. Watanzania tunapitia kipindi kigumu sana. Pray for Tanzania.

Kipindi kigumu unapitia wewe pambana na hali yako. Maombi hayafanyi kazi hapo.
 
Hili eti ndio jembe la Magu.
Vipi DC zile plate namba za UN unazotumia ukiwa katika ujambazi zinahifadhiwa kwenye ofisi za umma?
Masai jinga kabisa.na ndo lilioleta huu Uzi hapa.
 
Wakati hutoa majibu sahihi, puto hujaa upepo na kuvimba sana lakini upepo ukipitiliza huishia kupasuka
 
Mwenyezi hasaiidii watu wasiotaka kujisaidia, sisi tunaona kabisa serikali inaminya haki zetu za msingi lakini tunasubiri watu wengine waje watusaidie badala ya sisi waminywaji kuanza kuonesha upinzani wa madhira hayo.

Tukiendelea na akili hizo za kisengez, maccm yataifaidi sana keki ya taifa bila hata bughdha.
Uko sahihi sana mkuu. Tatizo watanzania ni waoga vibaya sana, na huu uoga maccm ndio nayautumia kwa manufaa yao.
 
Kusema hana aibu ni understatement! It is beyond lunacy.
He is embodiment of what the country has become; a creepy, disgusting and despotic banana republic!
Yaani dhulma, uonevu, udhalimu yamekuwa mambo ya kushangiliwa! Embu oneni wanashangilia na kuimba nae wakijua kabisa alichofanya!

Halafu Mbowe ndio alikuwa anaomba maridhiano na hawa watu aisee!

Roho yako itaumia sana ukija kugundua kuwa Ole Sabaya anavyopendwa na kukubalika Hai, Mwenyekiti anapapasa. Hashiki kitu hapo.

Nilishanga niliposhuhudia mwenyewe kwa macho yangu tarehe 26/27/28/29, October, 2020. Na nilikutana naye Uswaa, Mwowe msikitini, Lyamungo Sinde, Uraa na Bomang'ombe.

FACT: ANA KUBALIKA KWA WANANCHI, MAARUFU NA WAPENZI WENGI MACHAME KULIKO DC YEYOTE YULE TANGU UHURU.
 
Mungu na kaisari wapi na wapi...
Asimshirikishe Mungu katika upumbavu wake huo....
 
Huyu jamaa nashindwa hata nimuitaje. Tunaongozwa na watu wasiostahili kabisa. Mwenyezi Mungu tusaidie baba, tunaangamia. Watanzania tunapitia kipindi kigumu sana. Pray for Tanzania.
Kuna orodha ndefu sana ya watu ambao wamepewa vyeo ambavyo hawakustahili kabisa.

Inasikitisha sana mkuu wa wilaya kuwinda wananchi na bunduki
 
Roho yako itaumia sana ukija kugundua kuwa Ole Sabaya anavyopendwa na kukubalika Hai, Mwenyekiti anapapasa. Hashiki kitu hapo.

Nilishanga niliposhuhudia mwenyewe kwa macho yangu tarehe 26/27/28/29, October, 2020. Na nilikutana naye Uswaa, Mwowe msikitini, Lyamungo Sinde, Uraa na Bomang'ombe.

FACT: ANA KUBALIKA KWA WANANCHI, MAARUFU NA WAPENZI WENGI MACHAME KULIKO DC YEYOTE YULE TANGU UHURU.
Anakubalika na wanao jipendekeza ukisema hivyo utaeleweka lakini mtu anayejielewa huwezi kumkubali mtu wa aina yake!
 
Back
Top Bottom