Godfrey Mushy
New Member
- Oct 28, 2020
- 3
- 5
Kiboko ya Mwenyekiti,tunatakiwa kwenda nae kwa uangalifu maana kamgaragaza FreemanSabaya ni Mpumbavu tu kama walivo wapumbavu wengine wa hapo Lumumba.
Kama Mungu akihukumu hapohapo walitajae jina lake kwa makufuru, CCM Wasingekuapo.
Hata ivo Sio kila alitajae Jina lake Mungu ,Ni mpenzi wa Mungu.
Mathayo 7:21-23Sabaya ni Mpumbavu tu kama walivo wapumbavu wengine wa hapo Lumumba.
Kama Mungu akihukumu hapohapo walitajae jina lake kwa makufuru, CCM Wasingekuapo.
Hata ivo Sio kila alitajae Jina lake Mungu ,Ni mpenzi wa Mungu.
Ametumwa na mkuluAisee yaani anasoma maandiko ya kwenye biblia bila aibu kwa ule utapeli na wizi walioufanya; kutesa, kuteka watu bila hofu?
Halafu hao wapambe wamejawa na uoga wanajidai kumsikiliza kwa makini, kumbe wanafiki tu, Mungu wa kweli hadhihakiwi.
Karma is a bitch.
Mkuu tunaongozwa na vichaa kama hawaHuyu jamaa nashindwa hata nimuitaje. Tunaongozwa na watu wasiostahili kabisa. Mwenyezi Mungu tusaidie baba, tunaangamia. Watanzania tunapitia kipindi kigumu sana. Pray for Tanzania.
Aliyemteua ndiyo ana mwambia afanye hivyoDuh jamaa haoni aibu
Kabisa mkuu. Tunaongozwa na watu sio kabisa.Mkuu tunaongozwa na vichaa kama hawa
Ni aibu kuwa na mtawala mjinga kama huyuKabisa mkuu. Tunaongozwa na watu sio kabisa.
Nchi inahitaji zaidi ya huruma ya Mungu. Hali inatisha na kusikitisha sana.Huyu jamaa nashindwa hata nimuitaje. Tunaongozwa na watu wasiostahili kabisa. Mwenyezi Mungu tusaidie baba, tunaangamia. Watanzania tunapitia kipindi kigumu sana. Pray for Tanzania.
DuhAliyemteua ndiyo ana mwambia afanye hivyo