DC Ole Sabaya: Wilaya ya Hai haitakuwa uwanja wa majaribio ya kisiasa tena

DC Ole Sabaya: Wilaya ya Hai haitakuwa uwanja wa majaribio ya kisiasa tena

Hilo gwanda hata silielewi Mkuu.
Ni UVCCM, alikua na mbwembwe tu na kushona uniform ya rangi tofauti na kujifanya kama askari.
JamiiForums-1665488838.jpg
 
Mkuu kwani ushahidi uliotolewa dhidi ya Sabaya hjkuufatilia?Hata yeye amekiri kufanya matukio yale alipoambiwa ajitetee na kusema alikuwa anafanya vile kwa maelekezo ya mamlaka ya uteuzi wake.
Hata angefuatilia, anaonekana ana mahaba na Sabaya. Hapo anaumia sana ujue
TEMLO DA VINCA
 
Sabaya wewe Mwenyewe umesahau kesi yako kujifanya Usalama wa Taifa.

Ulifaa uwe Jela ukitumikia kifungo ,dhidi ya jinai ulizotenda kwa kujifanya Usalama wa Taifa.
Kumbuka usitukane Mamba kabla hujavuka Mto,

Bado nakuona wewe ni Mfungwa wa Kesho.
yametimia
 
Sabaya wewe Mwenyewe umesahau kesi yako kujifanya Usalama wa Taifa.

Ulifaa uwe Jela ukitumikia kifungo ,dhidi ya jinai ulizotenda kwa kujifanya Usalama wa Taifa.
Kumbuka usitukane Mamba kabla hujavuka Mto,

Bado nakuona wewe ni Mfungwa wa Kesho.
Ulitabiri au?
 
Akizungumza Na Wazee 300 wa wilaya Ya Hai nyumbani kwake Uzunguni Bomang'ombe DC Sabaya Ametangaza onyo Kali dhidi ya Wahalifu wa kisiasa ambao kwa mara zote wamekuwa wakiitumia wilaya Hio Kama sehemu ya kujipatia umaarufu wa kisiasa kwa kufanya siasa za kihalifu ili wapate kiki.

Ole Sabaya Ametoa Onyo ilo la mwisho dhidi ya Wahalifu,Hili linawadia Siku chache baada ya Kukamatwa kwa Mbunge wa Arusha Mjini Lema ambae alikutwa akipanga uhalifu katika nyumba moja uko Dorcas Bomang'ombe Hai Kisha kuruka ukuta baada ya kuona polisi,

Tayari Ole Sabaya alishawashikilia Wahalifu wa kisiasa wakiwemo Mashinji,Owenya na wengine wengi ambao walijaribu kuleta taharuki wilayani humo.
View attachment 1271868
Huyu ni mkuu wa wilaya nchini Tanzania anae weza kutoa kauli kinyume Cha katiba na akabaki kuwa mkuu wa wilaya.
#hii inawezekana Tanzania tu.
 
Unayasoma hayo wapi kwangu mkuu wangu? Au unayasoma hapa?

Sabaya: Haki Imetendeka na kuonekana ikitendeka

Sina shaka hata Idugunde Kamanda Asiyechoka Elitwege na binamu zao walioko chobingo:

View attachment 1978197

Watakuwa walipigwa bumbuwazi walipo kusoma [emoji16][emoji16].

Tofautisha hukumu kuwa haki, si haki kwa maoni ya yeyote na maoni yasiyopendeka kupigwa munda JF.

"Here is where we dare air our views openly!"

Au nasema uongo kiongozi?
Nimekusoma mkuu.
 
Aliyekuwa anasingizia wenzake uhalifu kumbe yeye ndio muhalifu original,sasa anakula matunda ya alichokipanda
 
Back
Top Bottom