DC Ole Sabaya: Wilaya ya Hai haitakuwa uwanja wa majaribio ya kisiasa tena

Kwani alikuwa msaluti? Mbona ana gwanda?
Hizo ni uniform za UVCCM tu, zilikua ni mbwembwe zake tu kushona uniform za rangi tofauti na wenzake na kujifanya ni askari. Angalia vizuri utaona UVCCM.
 
Mkuu kwani ushahidi uliotolewa dhidi ya Sabaya hjkuufatilia?Hata yeye amekiri kufanya matukio yale alipoambiwa ajitetee na kusema alikuwa anafanya vile kwa maelekezo ya mamlaka ya uteuzi wake.
Hata angefuatilia, anaonekana ana mahaba na Sabaya. Hapo anaumia sana ujue
TEMLO DA VINCA
 
Sabaya wewe Mwenyewe umesahau kesi yako kujifanya Usalama wa Taifa.

Ulifaa uwe Jela ukitumikia kifungo ,dhidi ya jinai ulizotenda kwa kujifanya Usalama wa Taifa.
Kumbuka usitukane Mamba kabla hujavuka Mto,

Bado nakuona wewe ni Mfungwa wa Kesho.
yametimia
 
Sabaya wewe Mwenyewe umesahau kesi yako kujifanya Usalama wa Taifa.

Ulifaa uwe Jela ukitumikia kifungo ,dhidi ya jinai ulizotenda kwa kujifanya Usalama wa Taifa.
Kumbuka usitukane Mamba kabla hujavuka Mto,

Bado nakuona wewe ni Mfungwa wa Kesho.
Ulitabiri au?
 
Huyu ni mkuu wa wilaya nchini Tanzania anae weza kutoa kauli kinyume Cha katiba na akabaki kuwa mkuu wa wilaya.
#hii inawezekana Tanzania tu.
 
Nimekusoma mkuu.
 
Aliyekuwa anasingizia wenzake uhalifu kumbe yeye ndio muhalifu original,sasa anakula matunda ya alichokipanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…