Wewe nishakuambia njoo mzigua ukazinguaView attachment 698985
Ukiacha suala la dini yake kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja ila kumkaribisha mke mwenzio hadharani hivi ni ushujaa uliotukuka. Hongera bi Zainab kwa kukubali mwenzio nyumbani.
Na nyie wengine mloolewa fanyeni kama Zainab mtupunguze tusio na ndoa mtaani.
Sio mimi ni maandishi yetu,inawezekana wewe usiyaelewe,na hata kuoa kama unaweza unaanzia wa4 watatu ukishindwa mmoja mkuu.Ningekua ni mimi pepo kwa style hii hapana.