DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,342
Reaction score
88,625
Ukiacha suala la dini yake kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja ila kumkaribisha mke mwenzio hadharani hivi ni ushujaa uliotukuka. Hongera bi Zainab kwa kukubali mwenzio nyumbani.

WhatsApp Image 2018-02-21 at 12.27.54.jpeg

WhatsApp Image 2018-02-21 at 12.27.54(1).jpeg

Na nyie wengine mloolewa fanyeni kama Zainab mtupunguze tusio na ndoa mtaani.
 
View attachment 698985
Ukiacha suala la dini yake kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja ila kumkaribisha mke mwenzio hadharani hivi ni ushujaa uliotukuka. Hongera bi Zainab kwa kukubali mwenzio nyumbani.
Na nyie wengine mloolewa fanyeni kama Zainab mtupunguze tusio na ndoa mtaani.
Wewe nishakuambia njoo mzigua ukazingua

Teh
 
Good move, ni vyema yeye aliyemkabidhi mumewe kwa mwanamke amayemfahamu na kuutangazia umma, kuliko mume ajikabidhi kwa mwanamke anayemfahamu yeye bila ya mkewe kujua na kwasiri balaa lake ni kubwa kuliko akili ya binadamu inavyoweza kufikiri, Always two is one and one is nothing.
 
Ngoja nimuoneshe wife alafu nimsikilize atatoa comment gani
Unataka kuhamishwa nyumba naona. Maana hataelewa kama unamuonyesha tu atajua tayari yupo unataka kumuupgrade awe wife number 2
 
Back
Top Bottom