mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Si hapo username yake kuna 93 wengi huwa wanaweka mwaka waliozaliwaKumbe kazaliwa 93 Mh Pole yake
Heshima ya ndoa inakuwa kubwa mengine ziada tuKushare kunauma wewe.
Kaongeza wawili mpaka sasa na mmoja anatarajia kujifungua soon.Na halafu hili swala la kuongeza mke lina siri kubwa sana.
huwezi jua nyuma ya pazia ni kipi kinaendelea mpaka jamaa kaamua kuongeza idadi ya mke mwengne.
mana kuna sababu nyengne hazielezeki hadharani, labda kuna ugonjwa au tatzo lolote lililomsukuma jamaa kufanya hvyo.
Yani najiona mimi kuwa mke mkubwa halafu niletewe mke mdogo sitaelewa.
Sasa si unaweza kumtoa roho aise mkamkosa wote halafu mnakuaga mna wivu kweli mkiolewa mke mwenzaMimi nakwambia ile siku najua anaenda kwa bimdogo ningekua naumwa hadi yeye mwenyewe ataogopa kuondoka. Au la nampa mchezo usiku kucha akifika kwa mke mwenza hata kumshika chuchu hawezi kwa jinsi alivyochoka.
Mimi hiyo Pepo ingenipita, maana huo moyo sina.
Unafanyaaje sasa na dini ndio inavyoruhusu mzigua90Yani najiona mimi kuwa mke mkubwa halafu niletewe mke mdogo sitaelewa.
huku unafki mwiingiii!!Hiyo ndio dini ya kweli sio huku kwetu eti mke moja kama pua.
Si uhame kwani umefungwa miguu?Hiyo ndio dini ya kweli sio huku kwetu eti mke moja kama pua.