DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

Na halafu hili swala la kuongeza mke lina siri kubwa sana.
huwezi jua nyuma ya pazia ni kipi kinaendelea mpaka jamaa kaamua kuongeza idadi ya mke mwengne.
mana kuna sababu nyengne hazielezeki hadharani, labda kuna ugonjwa au tatzo lolote lililomsukuma jamaa kufanya hvyo.
Kaongeza wawili mpaka sasa na mmoja anatarajia kujifungua soon.
 
Mimi nakwambia ile siku najua anaenda kwa bimdogo ningekua naumwa hadi yeye mwenyewe ataogopa kuondoka. Au la nampa mchezo usiku kucha akifika kwa mke mwenza hata kumshika chuchu hawezi kwa jinsi alivyochoka.
Sasa si unaweza kumtoa roho aise mkamkosa wote halafu mnakuaga mna wivu kweli mkiolewa mke mwenza
 
26151343_2001414053458936_351973592109416448_n.jpg





Mkuu wa wilaya ya Pangani Bi. Zainab Abdallah, ameushangaza umma baada ya kumpongeza mume wake kwa kuongeza mke wa pili, kwani ni kitendo cha nadra sana kwa wanawake kufanya hivyo licha ya kuwa misingi ya dini inaruhusu.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram mkuu wa wilaya huyo ameandika ujumbe huku akiujulisha umma kuwa wazo la mume wake kuongeza mke wa pili lilitoka kwake, baada ya kuona majukumu ya kazi yanambana na kushindwa kutekeleza majukumu ya ndoa.

“Assalaam Alaykum, nichukue nafasi hii kumpongeza Mume wangu kwa kuongeza mke wa pili. Kwa kuwa dini yetu ya Kiislam inaruhusu, wazo la kufanya hivyo lilitoka kwangu, kulingana na uzito wa majukumu yangu nalazimika mda mwingi kuwa mbali na nyumbani na hivyo mume wangu kukosa huduma za msingi”, ameandika Bi. Zainab Abdallah.

Mheshimiwa huyo wa serikali ya wamu ya tano aliendelea kuandika kuwa ...”Namshkuru kwa kunielewa na kulifanyia kazi ombi langu, hatimaye nimempata mwenzangu wa kusaidiana naye majukumu mazito ya ulezi wa mume. Alhamdulillah, M/Mungu ametupa riziki na uwezo, hivyo tunapaswa kutumia neema hizi na wengine. Mavazi ya mume wangu nimeyaandaa mwenyewe, yaa rabb atupe stara inshaaAllah.

3B8D3BD300000578-4054142-image-a-18_1482304845834.jpg
 
Labda kapata kipozeo kingine huko anakokuwa busy, mumewe kumpa taarifa ya kuongeza mke akaona isiwe shida.
Lazima. Mwanamke hawezi kukubali kuongezewa mwenzie kama na yeye hana substitute.
 
Back
Top Bottom