DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

Ndio basi, hapo tu!!! Hivyo tu!! Kweli tuna kazi. Asingetagaza ingewaje!!
 
Heko kwa ujasiri wako mama, najua wangi watakubeza hapa kwa uamuzi wako wa busara lakini Mungu akufungulie zaidi
 
Hizi ni kiki za kubadilisha maongezi ya watu

RIP Akwilina
 
wengine wanasema haya lakini kinyume chake anamkomesha kimya kimya usiamnini kila analosema mwanamke hasa walioko kwenye situations kama hizi
Labda lakini mara nyingi wanaharibu ni hao wanaokaribishwa hua na wivu kuwazidi wa mwanzo hapo ndo huanza shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…