Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
huyu nia yake akigongeashe nje, na kajitangaza hivyo ili mume wa mama madini arushe ndoano.
Hapo ni kama kumwaga mtama
Hapo ni kama kumwaga mtama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Just kiddingWhat?
huyu nia yake akigongeashe nje, na kajitangaza hivyo ili mume wake mama madini arushe ndoano.
Huo ni kama kumwaga mtama
Upo radhi upate wenzio lakini usijue au sio?Mimi hiyo Pepo ingenipita, maana huo moyo sina.
Kwa jinsi alivyo malizia naamini hajaumiaYe mwenyewe anazuga tu ila kaumia.
Ukinyimwa zamu ni dhambi kwa muelewa hakunyimisafi sna hata mimi nina moyo huo
ila ningekuwa mimi nisingemleta mzuri hivo maana unaweza kukosa zamu hivihvi
Labda lakini mara nyingi wanaharibu ni hao wanaokaribishwa hua na wivu kuwazidi wa mwanzo hapo ndo huanza shidawengine wanasema haya lakini kinyume chake anamkomesha kimya kimya usiamnini kila analosema mwanamke hasa walioko kwenye situations kama hizi