DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

Jamaa kwa hyo anaweka tu dah.....mi ningekua msilamu mimi jaman



Ningejaza wake kama kuku ndan
 

Hampendi mme wake na hana maana kwake!
 
wa kwangu anaruhusu part time kwa siri ila asikufume
 
Huo kweli ujasili.Hila kama unaelewa dini ya kiislam kuwa mume ana nafac nne nisawa kabisa.kwani kunawanawake ambao kazi zao kila siku ni za kusafiri. Kibiologia mwanaume hawezi kukaa cku 30 lakini wanawake wanaweza.ni bora mume aoe hila atambue kuwa wote ni wake zake na haki sawa kwa sawa.mimi binafsi hilo nilishalifanya na maandalizi ya kwenda kununua vitu ambavyo vinatakiwa mwanamke avikute nyumban jikon nilienda nikavinunua.mungu atuwezeshe wanawake tuwasaidie wenzetu nao wapate nusura .
 
Hila=Ila
 
Jamaa atakuwa ana kibamia.
Kama ana mashine ya ukweli mwanamke hawezi ruhusu hili.
 
Mmmh mbona hakusemaga siku nyingi...juzi alipost insta kupongeza ccm imeshinda na akaandika mtaa wa pili veepe...ndio kuna mtu akamchana kwenye comment mtaa wa pili tunasherehekea mumeo kuongeza mke wa pili....nahisi kaona aliweke wazi ila nahisi sababu ni ile comment amefanya tu hivyo ila naona halikuwa lengo kuweka wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…