DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

Huyu mkuu wa wilaya hii ndoa yake sidhan kama imefikisha hata mwaka naona katafutiwa. Ila uyo jamaa stress pia zilizidi akakosa liwazo maana alikosa uongozi uvccm pia ni manager wa azam fc

Ukuu wa wilaya unasema majukumu mengi? Je angekuwa maakamo wa raisi
 
Huo kweli ujasili.Hila kama unaelewa dini ya kiislam kuwa mume ana nafac nne nisawa kabisa.kwani kunawanawake ambao kazi zao kila siku ni za kusafiri. Kibiologia mwanaume hawezi kukaa cku 30 lakini wanawake wanaweza.ni bora mume aoe hila atambue kuwa wote ni wake zake na haki sawa kwa sawa.mimi binafsi hilo nilishalifanya na maandalizi ya kwenda kununua vitu ambavyo vinatakiwa mwanamke avikute nyumban jikon nilienda nikavinunua.mungu atuwezeshe wanawake tuwasaidie wenzetu nao wapate nusura .
Ni kweli kwanza mpaka hapo ameshapunguza idadi ya madada mtaani
 
Ningekua ni mimi pepo kwa style hii hapana.
Acha wivu,wivu ni ugonjwa dada...,usifikirie sana tendo la ndoa fikiria vipi utaweza kupata maisha bora katika maisha ya ndoa...

Hamna iu kizuri kama wanawake wanakuwa wanasikiliza kwenye maisha ya ndoa,hii inafanya maisha yawe rahisi kwa wanandoa..
 
Unafiki huu so hata kama katingwa haja zake anazitimizaje? Sitaki kuamini hayo maandishi...
 
Me nimeishia kwenye hiyo mistari miwili ya mwisho tu....naona kiungo kimetajwa sana
 
Ukiacha suala la dini yake kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja ila kumkaribisha mke mwenzio hadharani hivi ni ushujaa uliotukuka. Hongera bi Zainab kwa kukubali mwenzio nyumbani.

View attachment 699033

View attachment 699031




Na nyie wengine mloolewa fanyeni kama Zainab mtupunguze tusio na ndoa mtaani.
Mzigua90 usiseme na nyie na wewe tunakusubiri instagram umkaribishe mwenzio, halafu angalieni wanawake wajanja sana, si ajabu kampata ambaye anamfikisha kileleni vizuriiiiiii zaidi ya huyo mume wake sasa ameamua kumtupia mpira mwenzie, kwani serikali imembana akae ofisini hadi saa 5 usiku? Sasa utaona kitakacho fuata ni yeye mke wa kwanza kumuachia mume wake muda mwingi akalale kule sasa utajiuliza na yeye hamu inaishaje, ahaha acheni bhana wanawake hawa hata ukiwa naye mmoja tu unataka kumkimbia maana ana demand sana apigwe hata vi 4 kila baada ya siku 2 mwanaume unachoka kweli kweli una haha sasa letewa wa 2 sasa tuone hizo nguvu utazipata wapi za kila siku maana kila ukigeuka unakuta huyu hapa ana hamu kali sana anataka, zamu ikiisha ya huyu unakutana na mwingine ana hamu doh, mnajitahidi sana kunywa juice za matunda kila mlapo chakula cha mchana na jioni, kahawa kwa wingi, chai ya maziwa na uji wa muhogo, mara tende mara maziwa ahaha mi sinywagi vyote hivyo pamoja ya kuwa nina uwezo ila lol nakomaa na hali yangu tu inanitosha sio niongeze vitamin ili nipate nguvu za kwenda ku pump lol ndio maana kiharusi na tezi dume havita waacha kisa uroho wa kila aina ya K*MA. Poleni hongereni kwa kuwa na nguvu za kutosha mtazeheka haraka kabla ya umri.
 
Mkuu wa wilaya tu majukumu mengi na Samia atasemaje
swali lko hili limenipeleka mpka kwa malikia Elizabeth...
sema wanawake wengi wanaojihusisha na siasa ni mboga za wakubwa wao ..so acha Jamaa achapiwe
 
Back
Top Bottom