Blueprint 9
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 798
- 1,381
Huyu mkuu wa wilaya hii ndoa yake sidhan kama imefikisha hata mwaka naona katafutiwa. Ila uyo jamaa stress pia zilizidi akakosa liwazo maana alikosa uongozi uvccm pia ni manager wa azam fc
Ukuu wa wilaya unasema majukumu mengi? Je angekuwa maakamo wa raisi
Ukuu wa wilaya unasema majukumu mengi? Je angekuwa maakamo wa raisi