Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Eti mke mmoja kama pua[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hiyo ndio dini ya kweli sio huku kwetu eti mke moja kama pua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti mke mmoja kama pua[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hiyo ndio dini ya kweli sio huku kwetu eti mke moja kama pua.
Unafki wake wa kiwango cha lami ukisikia tu au kujua mumeo anachepuka mtu unafura sembuse kuletewa mke wa pili mfyuuuKwa tusioweza unafiki hawezi ndoa hizo
Utaki kwenda peponi mzigua90Dini kitu gani bwana weee
Niko huku kwa social tuKwani umeshikiliwa huko kwenu? Wewe nenda kwenye hiyo dini yako ya kweli.
Mche Mola wako...Ningekua ni mimi pepo kwa style hii hapana.
Ukiacha suala la dini yake kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja ila kumkaribisha mke mwenzio hadharani hivi ni ushujaa uliotukuka. Hongera bi Zainab kwa kukubali mwenzio nyumbani.
View attachment 699033
View attachment 699031
Na nyie wengine mloolewa fanyeni kama Zainab mtupunguze tusio na ndoa mtaani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji14] [emoji14]Ye mwenyewe anazuga tu ila kaumia.
wa kwangu anaruhusu part time kwa siri ila asikufumeUkiacha suala la dini yake kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja ila kumkaribisha mke mwenzio hadharani hivi ni ushujaa uliotukuka. Hongera bi Zainab kwa kukubali mwenzio nyumbani.
View attachment 699033
View attachment 699031
Na nyie wengine mloolewa fanyeni kama Zainab mtupunguze tusio na ndoa mtaani.
Safi sana.wa kwangu anaruhusu part time kwa siri ila asikufume
Hila=IlaHuo kweli ujasili.Hila kama unaelewa dini ya kiislam kuwa mume ana nafac nne nisawa kabisa.kwani kunawanawake ambao kazi zao kila siku ni za kusafiri. Kibiologia mwanaume hawezi kukaa cku 30 lakini wanawake wanaweza.ni bora mume aoe hila atambue kuwa wote ni wake zake na haki sawa kwa sawa.mimi binafsi hilo nilishalifanya na maandalizi ya kwenda kununua vitu ambavyo vinatakiwa mwanamke avikute nyumban jikon nilienda nikavinunua.mungu atuwezeshe wanawake tuwasaidie wenzetu nao wapate nusura .
mistari miwili ya mwisho..........Eti mke mmoja kama pua[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Huyu DC si haba kajazia kama Mzigua90![]()