DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana nimekuwa mwenza leo wakunyumba haya niambie yupi tunayeshare
Wakunyumba sio mimi ni JD [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hv majukumu yakiisha na muda mwingi akiwa na mmewe itakuwaje..‍♂️atamwambia ampige chini mke mwenza..
 
Zainab mdogo wa umri lakini ila mkubwa wa mambo
Kwanza mbona kafuta picha zake za harusi? Anatuzuga huyu na ashukuru ndugu yake na jullie dolls akutaka kubadili dini angekua ameletewa mke wa 3[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…