Chiwa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 4,116
- 4,979
unazingua! mziguaHaruhusu. Siku akikufuma ndo utajua anaruhusu au la.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unazingua! mziguaHaruhusu. Siku akikufuma ndo utajua anaruhusu au la.
Nilichoka kusikia eti jimama lote hili January ndo limefikisha 25[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu akikutana na yule mgawa vyeo mpenda vyeupe atapona kweli?
Sio muumini ila hata ningekua nisingeeelewa
Huyu akikutana na yule mgawa vyeo mpenda vyeupe atapona kweli?
We bado saaana. Jiongezezl, pua ni moja but matundu mawili.Hiyo ndio dini ya kweli sio huku kwetu eti mke moja kama pua.
Nilichoka kusikia eti jimama lote hili January ndo limefikisha 25[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wabongo ni mabingwa wa kurudisha umri nyuma
Zuri sanaaToto juli chana hii.......
Tuna Figo tu [emoji23] [emoji23]aiseee ana moyo. sis wengine sijui tuna nn
inawezekana aiseeTuna Figo tu [emoji23] [emoji23]
Hahaha kwani mzigua 90 hujaolewa ww?Ukiacha suala la dini yake kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja ila kumkaribisha mke mwenzio hadharani hivi ni ushujaa uliotukuka. Hongera bi Zainab kwa kukubali mwenzio nyumbani.
View attachment 699033
View attachment 699031
Na nyie wengine mloolewa fanyeni kama Zainab mtupunguze tusio na ndoa mtaani.
cha ajabu nini mume kuwa na mke mwingine hadi iitajike roho ngumu?
Itakua na yeye ni mchepukaji mzuri sana.
Wivu unaruhusiwa ila itakua powa mwenzio akipata STARA kwa kuolewa.Ningekua ni mimi pepo kwa style hii hapana.
Kwanza mbona kafuta picha zake za harusi? Anatuzuga huyu na ashukuru ndugu yake na jullie dolls akutaka kubadili dini angekua ameletewa mke wa 3[emoji23][emoji23]Zainab mdogo wa umri lakini ila mkubwa wa mambo