Kumbe?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sikuona hiyoMmmh mbona hakusemaga siku nyingi...juzi alipost insta kupongeza ccm imeshinda na akaandika mtaa wa pili veepe...ndio kuna mtu akamchana kwenye comment mtaa wa pili tunasherehekea mumeo kuongeza mke wa pili....nahisi kaona aliweke wazi ila nahisi sababu ni ile comment amefanya tu hivyo ila naona halikuwa lengo kuweka wazi
Nimejazia zaidi yake
Ha ha ha lakini roho inamuuma anajikaza tu basi[emoji1] [emoji1] [emoji1]Kuna mengi ya kunipeleka peponi
Ukiacha suala la dini yake kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja ila kumkaribisha mke mwenzio hadharani hivi ni ushujaa uliotukuka. Hongera bi Zainab kwa kukubali mwenzio nyumbani.
View attachment 699033
View attachment 699031
Na nyie wengine mloolewa fanyeni kama Zainab mtupunguze tusio na ndoa mtaani.
Ewaaaa! Umeonaeee.Haya mambo wanaweza wazanzibar sio sisi wabongoland. Hapo kajikosha tu.
Ni namna ya kumuacha hiyo, anamuona sio level zake tenahuyu dc naye ana yake tu ana majukumu gani mazito ya kusababisha amshauri mume aoe,akiwa wazir huyu si atataka ndoa ivunjike,mi nafikili naye kapata kamchepuko huko kwa watawala sasa anataka zaidi uhuru