DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

Mmmh mbona hakusemaga siku nyingi...juzi alipost insta kupongeza ccm imeshinda na akaandika mtaa wa pili veepe...ndio kuna mtu akamchana kwenye comment mtaa wa pili tunasherehekea mumeo kuongeza mke wa pili....nahisi kaona aliweke wazi ila nahisi sababu ni ile comment amefanya tu hivyo ila naona halikuwa lengo kuweka wazi
Kumbe?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sikuona hiyo
 
Anaishi na wake zake hao wawili nyumba moja!?

Ukiacha suala la dini yake kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja ila kumkaribisha mke mwenzio hadharani hivi ni ushujaa uliotukuka. Hongera bi Zainab kwa kukubali mwenzio nyumbani.

View attachment 699033

View attachment 699031




Na nyie wengine mloolewa fanyeni kama Zainab mtupunguze tusio na ndoa mtaani.
 
Haya mambo wanaweza wazanzibar sio sisi wabongoland. Hapo kajikosha tu.
Ewaaaa! Umeonaeee.

Na hata hao Wazanzibar ni wachache dada. Mie nina Dada yangu wa hiari alishinda analia Ofisini kisa mume kamwambia anataka kuongeza mke.

Ni sunna sawa ila yataka moyo na walio wengi unakuta wanajikosha kama ulivyosema ila moyoni huwa hawajaridhia.
 
Wadada wengi hata humu Wana tembea na wanaume sio wao. Uchafu Uchafu Uchafu. Afadhali mhalalishe tu. Kwa Wakristo Ndio mbaya zaidi.
 
huyu dc naye ana yake tu ana majukumu gani mazito ya kusababisha amshauri mume aoe,akiwa wazir huyu si atataka ndoa ivunjike,mi nafikili naye kapata kamchepuko huko kwa watawala sasa anataka zaidi uhuru
Ni namna ya kumuacha hiyo, anamuona sio level zake tena
 
Back
Top Bottom