DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

Na huu ndio ukweli mchungu ambao wanawake wengi hawapendi kuusikia.
 
Aiseee
 
Kalifanyia kazi tamko la mzee baba kwa namna ya kipekee kabisa... Kwenye Ukristo kuna upendo unaitwa upendo wa Agape... NDIO HUU SASA....
 
wengine wanasema haya lakini kinyume chake anamkomesha kimya kimya usiamnini kila analosema mwanamke hasa walioko kwenye situations kama hizi. KUNA MAMA JIRANI YETU ALIYASEMA KAMA HAYA LAKINI ALIKUWA ANAZIMIA AKIWA ANADRIVE AKAUGUA MAGINJWA YA KILA AINA DEPRESSION ILIKUWA NYUMBA YAKE ALILOMFANYA HUYU MWENZIE BAADAE NI MUNGU PEKEE ANAJUA
 
ila ni wanawake wachache sana ulimwenguni wanaoweza kulipokea swala hili moja kwa moja kiurahisi.
mara nyingi mpaka wazozane na mume ndio akubal kishingo upanse
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…