Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo kujitambua gani huko?Ana moyo kweli kweli sio hawa wengine wasiojitambua na hawataki kufundishwa wakajitambua.
View attachment 698999
AiseeeGood move, ni vyema yeye aliyemkabidhi mumewe kwa mwanamke amayemfahamu na kuutangazia umma, kuliko mume ajikabidhi kwa mwanamke anayemfahamu yeye bila ya mkewe kujua na kwasiri balaa lake ni kubwa kuliko akili ya binadamu inavyoweza kufikiri, Always two is one and one is nothing.
Kalifanyia kazi tamko la mzee baba kwa namna ya kipekee kabisa... Kwenye Ukristo kuna upendo unaitwa upendo wa Agape... NDIO HUU SASA....View attachment 698985
Ukiacha suala la dini yake kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja ila kumkaribisha mke mwenzio hadharani hivi ni ushujaa uliotukuka. Hongera bi Zainab kwa kukubali mwenzio nyumbani.
Na nyie wengine mloolewa fanyeni kama Zainab mtupunguze tusio na ndoa mtaani.
Hiyo ndio dini ya kweli sio huku kwetu eti mke moja kama pua.
Nimeshangaa sn mwanaume hawezi kukuelewa kama upo busy basi ni bora tutengane kuliko kuniletea mtu wa piliYe mwenyewe anazuga tu ila kaumia.
Bora mume awe na michepuko sio?Nimeshangaa sn mwanaume hawezi kukuelewa kama upo busy basi ni bora tutengane kuliko kuniletea mtu wa pili
We ungefanyaje mkuu na majukumu ndio hivyo tena yanakubana..??Ningekua ni mimi pepo kwa style hii hapana.
Nisijue, nikijua patachimbikaBora mume awe na michepuko sio?