DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

safi sna hata mimi nina moyo huo
ila ningekuwa mimi nisingemleta mzuri hivo maana unaweza kukosa zamu hivihvi
Hahahaa. Sasa si unaletewa we inasema tu sawa. Chibeb wa kawaida bwana sema anajipenda sana. Na mjanja mjanja tofauti na Zainab. Sema zamu za Zainab aasahau.
 
Kalifanyia kazi tamko la mzee baba kwa namna ya kipekee kabisa... Kwenye Ukrisro kuna upendo unaitwa upendo wa Agape... NDIO HUU SASA....
Upendo wa mshumaa huo.
 
Nimeshangaa sn mwanaume hawezi kukuelewa kama upo busy basi ni bora tutengane kuliko kuniletea mtu wa pili

bibie kabla hujayaongea hayo ujue kwamba sisi wanaume hatuwezi kustahamili kufuga mi'GENYE' kama muwezavyo nynyi.
au unataka jamaa aanze kuutembeza hovyo mitaani..?.
Nadhan jamaa na mkewe wametumia busara zaid kufanya hvyo.
Pongezi kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…