Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
- Thread starter
- #41
Hahahaa. Sasa si unaletewa we inasema tu sawa. Chibeb wa kawaida bwana sema anajipenda sana. Na mjanja mjanja tofauti na Zainab. Sema zamu za Zainab aasahau.safi sna hata mimi nina moyo huo
ila ningekuwa mimi nisingemleta mzuri hivo maana unaweza kukosa zamu hivihvi