DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

safi sna hata mimi nina moyo huo
ila ningekuwa mimi nisingemleta mzuri hivo maana unaweza kukosa zamu hivihvi
Hahahaa. Sasa si unaletewa we inasema tu sawa. Chibeb wa kawaida bwana sema anajipenda sana. Na mjanja mjanja tofauti na Zainab. Sema zamu za Zainab aasahau.
 
Nimeshangaa sn mwanaume hawezi kukuelewa kama upo busy basi ni bora tutengane kuliko kuniletea mtu wa pili

bibie kabla hujayaongea hayo ujue kwamba sisi wanaume hatuwezi kustahamili kufuga mi'GENYE' kama muwezavyo nynyi.
au unataka jamaa aanze kuutembeza hovyo mitaani..?.
Nadhan jamaa na mkewe wametumia busara zaid kufanya hvyo.
Pongezi kwao
 
f8d42e7d829d3f452d6c80d677445ef7.jpg


DC zainabu anaendelea kufunguka ,inaonekana ndoa inaenda kuvunjika
 
Back
Top Bottom