Hahaaaa na mimi si - quote hii comment yako. Nimuombee dua wakati keshafanya maamuzi?Sikupi like Leo,si umuombee dua.
Unawaonea husda?mapenzi yana run dunia we we kama machine zime fail waache wenzio wafurahie maisha.Dini ambayo mafundisho yake yamejengwa kwenye ngono, kuoa na kuolewa..
Huruma!!!! Sitaki hata mimi..... Wangu tu tusipo onana siku2 nyumba inakua ndogo sembuse kugawana.we nawe wa ajabu kumbe eeh?.
mbona mnakuwa na roho hiyo? hv hamjui kama nyie wanawake mko wengi zaid yetu wanaume..
sasa hao wengne wanaozagaa mitaani watapata wapi hifadhi kama si kuwaonea huruma kama hii ya bi Zainabu.
Vibaya hivyo...Simara
We nawe. Nyie ndo mnajulia vitu Instagram basi unadhani wenzio wote washamba kama wewe kujua vitu mpaka viweke insta.Unavoandika kama vile ulikuepo mwanzo mwisho. Hivi tuseme huyu Zainab asingeandika kwenye Instagram yake ungeijua hata hii habari yenyewe!!!
Mijanamke acheni akili za kuku
Tupeane support kukubali ndoa za wake wengi au support gani? Na wanaume akili zenu kama za nini mkuu?Wewe umejuaje kwamba kalazimishwa bana!!
Huwa unalala nao chumba kimoja ukasikia maongezi yao ama...
Wanawake acheni kuwa na akili kama za kuku. Peaneni support
We nawe. Nyie ndo mnajulia vitu Instagram basi unadhani wenzio wote washamba kama wewe kujua vitu mpaka viweke insta.
Wewe umejuaje kwamba kalazimishwa bana!!
Huwa unalala nao chumba kimoja ukasikia maongezi yao ama...
Wanawake acheni kuwa na akili kama za kuku. Peaneni support
Msitoe povu wakristu wakatoliki wenzangu wengi mnajidai mke moja but vimada kibao. Ndoa za kikristu kanisani tu mitaani uzinzi hata mapadri na maaskofu wangu wamo.Hiyo ndio dini ya kweli sio huku kwetu eti mke moja kama pua.
Huyu DC si haba kajazia kama Mzigua90Labda kapata kipozeo kingine huko anakokuwa busy, mumewe kumpa taarifa ya kuongeza mke akaona isiwe shida.
Hahahahaa! Naona wasifia mali ya watuHuyu DC si haba kajazia kama Mzigua90
Mheshimiwa hujasoma Biblia kwa umakini wake, kama umesoma injili utakuta sehemu inataka mume mmoja mke mmoja tena sehemu hiyo imekataza kuvunja ndoa kwa namna yeyote ile isippkuwa kwa sababu ya uzinzi tu ndoa itavunjwa, sehemu inasema alichokiunganisha Mungu mwanadamu hana ruhusa ya kutengua, inaendelea kusema, kila mtu ataachana na Mama yake na baba yake na ataambana na mkewe / mumewe nasiyo wake zake na wote watakuwa mwili mmojaWanawake wa namna hii ni wachache sana. Lakini haya mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja hayajaanza leo. Hata kwa Wakristo, Biblia imeonesha ni jinsi gani watu wa zamani walivyokuwa na mke zaidi ya mmoja na bado MUNGU alikuwa upande wao. Mfano mzuri na Yakobo(Israeli) na mfalme Daudi. Hawa walikuwa na wake wengi na bado MUNGU alikuwa anawabariki usiku na mchana. Ukisoma Biblia utaona jinsi wake za Yakobo walivyomruhu alale na "mahouse girl" wao pia tena bila kinyongo kabisa.
Mimi huwa nasema kuwa MUNGU huwa anajali sana kilicho ndani ya "roho" ya mtu na siyo mambo ya mwili kama kuwa na wake wangapi. MUNGU ni Roho, na yeye huangalia zaidi yale yaliyo ya "rohoni". Kama unampenda MUNGU kwa moyo wako wote na kuzishika "Amri" zake, basi hata kama utaoa wanawake 100 wala yeye hana shida. Pia ukisoma Amri zote za MUNGU hakuna hata moja inayokataza kuoa mke zaidi ya mmoja, hakuna, siyo kwenye agano la kale wala siyo kwenye agano jipya.
mke mwenza mwenyewe mtoto wa mjiniAna moyo wa pekee hongera zake acha niwe hivi hivi nilivyo moyo huo siuwezi kabisa hata kujifakesha