DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

we nawe wa ajabu kumbe eeh?.
mbona mnakuwa na roho hiyo? hv hamjui kama nyie wanawake mko wengi zaid yetu wanaume..
sasa hao wengne wanaozagaa mitaani watapata wapi hifadhi kama si kuwaonea huruma kama hii ya bi Zainabu.
Vibaya hivyo...Simara
Huruma!!!! Sitaki hata mimi..... Wangu tu tusipo onana siku2 nyumba inakua ndogo sembuse kugawana.
 
Wewe umejuaje kwamba kalazimishwa bana!!
Huwa unalala nao chumba kimoja ukasikia maongezi yao ama...
Wanawake acheni kuwa na akili kama za kuku. Peaneni support
Tupeane support kukubali ndoa za wake wengi au support gani? Na wanaume akili zenu kama za nini mkuu?
 
Aise anamoyo wa pekee. Ila huyu dada yuko smart sana ktk kazi zake pia hafanyi kazi kwa kutafuta sifa, ni rafiki wa kila mtu nilibahatika kukutana nae mahali ilibidi niulizie habari zake kwa wenyeji wa pangani kuhusu utendaji wake hasa watumishi wa serikali wengi walimsifia wanasema japo ni binti mdogo lkn anabusara sana, hofokei mtumishi anapenda kuelekeza kwa upole,
 
Wewe umejuaje kwamba kalazimishwa bana!!
Huwa unalala nao chumba kimoja ukasikia maongezi yao ama...
Wanawake acheni kuwa na akili kama za kuku. Peaneni support

Al Akhy mcharo hata wake za mtume walikinukisha pale Mtume (s.a.w) alipoletewa mtumwa wa kiyahudi kisha akamuoa. Rasulullahi alinuniwa hadi Allah alishusha aya.
Wivu upo, not that easy.....Sasa ndo tuseme Zainab ana imani kuliko kina Aisha na Zainab?
 
Labda kapata kipozeo kingine huko anakokuwa busy, mumewe kumpa taarifa ya kuongeza mke akaona isiwe shida.
Huyu DC si haba kajazia kama Mzigua90
cfa9de7065724582b13072c00fc6e430.jpg
 
Wanawake wa namna hii ni wachache sana. Lakini haya mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja hayajaanza leo. Hata kwa Wakristo, Biblia imeonesha ni jinsi gani watu wa zamani walivyokuwa na mke zaidi ya mmoja na bado MUNGU alikuwa upande wao. Mfano mzuri na Yakobo(Israeli) na mfalme Daudi. Hawa walikuwa na wake wengi na bado MUNGU alikuwa anawabariki usiku na mchana. Ukisoma Biblia utaona jinsi wake za Yakobo walivyomruhu alale na "mahouse girl" wao pia tena bila kinyongo kabisa.

Mimi huwa nasema kuwa MUNGU huwa anajali sana kilicho ndani ya "roho" ya mtu na siyo mambo ya mwili kama kuwa na wake wangapi. MUNGU ni Roho, na yeye huangalia zaidi yale yaliyo ya "rohoni". Kama unampenda MUNGU kwa moyo wako wote na kuzishika "Amri" zake, basi hata kama utaoa wanawake 100 wala yeye hana shida. Pia ukisoma Amri zote za MUNGU hakuna hata moja inayokataza kuoa mke zaidi ya mmoja, hakuna, siyo kwenye agano la kale wala siyo kwenye agano jipya.
Mheshimiwa hujasoma Biblia kwa umakini wake, kama umesoma injili utakuta sehemu inataka mume mmoja mke mmoja tena sehemu hiyo imekataza kuvunja ndoa kwa namna yeyote ile isippkuwa kwa sababu ya uzinzi tu ndoa itavunjwa, sehemu inasema alichokiunganisha Mungu mwanadamu hana ruhusa ya kutengua, inaendelea kusema, kila mtu ataachana na Mama yake na baba yake na ataambana na mkewe / mumewe nasiyo wake zake na wote watakuwa mwili mmoja
 
Back
Top Bottom