DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

bibie kabla hujayaongea hayo ujue kwamba sisi wanaume hatuwezi kustahamili kufuga mi'GENYE' kama muwezavyo nynyi.
au unataka jamaa aanze kuutembeza hovyo mitaani..?.
Nadhan jamaa na mkewe wametumia busara zaid kufanya hvyo.
Pongezi kwao
Genye za kazi gani na mkeo yupo?
 
Kabla hawajaona huyu mume alikuwa anapataje huduma? Si ina maana alikuwa anapiga wote wawili.

Yote kheri kama kaamua kupunguza dhambi
Kamula mwezi wa 8 ila ana mwabamke mwingine ana mimba na huyu alie muoa juzi. Wako watatu jumla.
 
f8d42e7d829d3f452d6c80d677445ef7.jpg

DC zainabu anaendelea kufunguka ,inaonekana ndoa inaenda kuvunjika
Walishatengana. Ndo inashangaza imekuaje waraka huu wa kubariki ndoa ya mumewe.
 
Ukiacha suala la dini yake kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja ila kumkaribisha mke mwenzio hadharani hivi ni ushujaa uliotukuka. Hongera bi Zainab kwa kukubali mwenzio nyumbani.

View attachment 699033

View attachment 699031

Na nyie wengine mloolewa fanyeni kama Zainab mtupunguze tusio na ndoa mtaani.
Si unaambiwa kizuri kula na nduguyo mzigua90
 
bibie kabla hujayaongea hayo ujue kwamba sisi wanaume hatuwezi kustahamili kufuga mi'GENYE' kama muwezavyo nynyi.
au unataka jamaa aanze kuutembeza hovyo mitaani..?.
Nadhan jamaa na mkewe wametumia busara zaid kufanya hvyo.
Pongezi kwao
Ni hivi kama huwezi kustahimili kufuga hizo hamu zako na mimi siwezi kustahamili kuletewa mke wa pili.
 
Back
Top Bottom