wamaukweli
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 1,084
- 1,277
Nakuunga mkono,Kushea utamu na MTU mwingine yahitaji moyo wa chumaNingekua ni mimi pepo kwa style hii hapana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuunga mkono,Kushea utamu na MTU mwingine yahitaji moyo wa chumaNingekua ni mimi pepo kwa style hii hapana.
Sidhani kama wana mwaka wale.Ndoa yake ya juzi juzi tu hapa tayari keshaletewa mke mwenzie?!!!!!!!Tena nakumbuka alipakwa ma make-up kibao
Leo majukumu yamezidiEeeh. Wenyewe walijitia theme ya harusi ni harusi ya kiarabu. Hata miezi sita bado
Muogope hata Mungu wakoHiyo ndio dini ya kweli sio huku kwetu eti mke moja kama pua.
Wamefunga nadhani kwenye 6/8/2017 japo sina uhakika sana tarehe ila ni karibia hapo hapo.Sidhani kama wana mwaka wale.
Tupo wengi tu.
Kashakwambia yupo busy na CCM.Eiish. Kwani ye anashindwa nini?
utupe mrejeshoNgoja nimuoneshe wife alafu nimsikilize atatoa comment gani
Genye za kazi gani na mkeo yupo?
inaelekea yeye ni wa 2 au anawania kuwa 2...............Na wewe mko wawili mama?
Ni hivi kama huwezi kustahimili kufuga hizo hamu zako na mimi siwezi kustahamili kuletewa mke wa pili.
Hahahaaaa Subir niwaze kidogo
Ahasante sana Mimi so materialist .hahahahhaaaa.
bc km na ww una sifa hyo kokote ulipo Pongezi yangu ikufikie
kumbe ya juzi tu?Wamefunga nadhani kwenye 6/8/2017 japo sina uhakika sana tarehe ila ni karibia hapo hapo.
![]()
cha ajabu nini mume kuwa na mke mwingine hadi iitajike roho ngumu?Huyo mwanamke anaroho ngumu sana kuua kwake itakuwa kitu cha kawaida sana.
Ahasante sana Mimi so materialist .