DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

Tatizo la mwanamke ni kufikiria siku ile ya kwanza mumewe kuongeza jiko akiwa anakula mema ya nchi huku yeye akiwa anachoma mahindi benchi! Hata hivyo ni suala la kawaida kabisa na linawezekana endapo mhusika atakuwa amejiandaa kisaikolojia.
 
Nikibahatika kupata uteuzi na mimi nitamwambia mume aongeze mke, ila kwa sharti moja tu.. Mume atulie na mkewe mpya, mimi asinisumbue... anipe nafasi ya kuhudumia wananchi huko wilayani
Nani atakaekuwa anakukuna huko kwenye majukumu?
 
Mwanamke wa Kiislamu amepokonywa uhuru wa nafsi na dini yake. Hakuna kupenda mtu mmoja watu wanne bali kupeana nafasi ya kushea basi. Mwanaume wa Kiislamu hapati upendo wa dhati toka moyoni bali maigizo ya watu wenye sononeko la nafsi. Povu ruksa.
Hii comment yako imenikumbusha novel inaitwa So long a letter by Mariama Ba'. Nimejikuta nimekikumbuka sana hii novel ya mama msenegali. Nimeisoma kitambo kweli.
 
Mheshimiwa hujasoma Biblia kwa umakini wake, kama umesoma injili utakuta sehemu inataka mume mmoja mke mmoja tena sehemu hiyo imekataza kuvunja ndoa kwa namna yeyote ile isippkuwa kwa sababu ya uzinzi tu ndoa itavunjwa, sehemu inasema alichokiunganisha Mungu mwanadamu hana ruhusa ya kutengua, inaendelea kusema, kila mtu ataachana na Mama yake na baba yake na ataambana na mkewe / mumewe nasiyo wake zake na wote watakuwa mwili mmoja
Hiyo ni tafsri yako mkuu. Tatizo kila mtu anakuwa na tafsri ya maandiko kwenye kichwa chake. Ukweli ni kwamba kwenye Biblia hakuna Amri inayosema "na usiwe na mke zaidi ya mmoja". Hakuna amri kama hiyo.

Yakobo alikuwa na wake wawili na zaidi ya hapo akawachukua na mahouse girls(vijakazi) na kuwafanya wake zake pia na akazaa nao watoto. Jumla yake watoto 12 ndiyo hao taifa la Israeli leo hii ambalo ndilo taifa teule la MUNGU. Tena MUNGU akambariki sana Yakobo na watoto wake. Hivyo kama kuwa na mke zaidi ya mmoja ingekuwa ni machukizo kwa MUNGU, basi ni lazima BWANA MUNGU angemkemea Yakobo na asingekaa kimya na kuendelea kumbariki. Ukisoma maandiko utaona kuna mahali imeandikwa; "Maana yeye ambaye BWANA ampenda humrudi, naye humpiga kila mwana amkubaliye". Hivyo kama kuoa wake wengi ingekuwa ni makosa, BWANA angemrudi Yakobo na kumkanya. Kumbuka jinsi alivyomkanya na kumrudi Daudi kwa kosa la kuchukua mke wa Uria. Sababu kuchukua mke wa mwingine ni makosa, lakini kuoa wake wengi siyo makosa.

MUNGU wa Yakobo ndiyo huyo huyo MUNGU wetu leo hii, hajabadilika. Ikiwa hakumkasirikia Yakobo kwa kuoa mke zaidi ya mmoja, kwanini akukasirikie wewe?? MUNGU hana substandards hata siku moja. MUNGU ni mkamilifu tena sana na ndiyo maana tunasema MUNGU ni yule yule, jana na leo na kesho na milele yote. Kama kuoa zaidi ya mke mmoja ni makosa, basi wakati ule MUNGU anampa Musa amri kumi na sheria ya Torati, pia hili swala la kuoa mke zaidi ya mmoja lingewekwa kwenye Torati, lakini halipo kabisa ndani ya Torati. Tena fahamu kwamba YESU KRISTO hakuja kuleta amri mpya wala kuifuta Torati, bali alikuja kuikamilisha na kuifafanua.

Mkuu vespere unahitaji hekima na busara kulielewa neno la MUNGU.
 
Mzigua90 usiseme na nyie na wewe tunakusubiri instagram umkaribishe mwenzio, halafu angalieni wanawake wajanja sana, si ajabu kampata ambaye anamfikisha kileleni vizuriiiiiii zaidi ya huyo mume wake sasa ameamua kumtupia mpira mwenzie, kwani serikali imembana akae ofisini hadi saa 5 usiku? Sasa utaona kitakacho fuata ni yeye mke wa kwanza kumuachia mume wake muda mwingi akalale kule sasa utajiuliza na yeye hamu inaishaje, ahaha acheni bhana wanawake hawa hata ukiwa naye mmoja tu unataka kumkimbia maana ana demand sana apigwe hata vi 4 kila baada ya siku 2 mwanaume unachoka kweli kweli una haha sasa letewa wa 2 sasa tuone hizo nguvu utazipata wapi za kila siku maana kila ukigeuka unakuta huyu hapa ana hamu kali sana anataka, zamu ikiisha ya huyu unakutana na mwingine ana hamu doh, mnajitahidi sana kunywa juice za matunda kila mlapo chakula cha mchana na jioni, kahawa kwa wingi, chai ya maziwa na uji wa muhogo, mara tende mara maziwa ahaha mi sinywagi vyote hivyo pamoja ya kuwa nina uwezo ila lol nakomaa na hali yangu tu inanitosha sio niongeze vitamin ili nipate nguvu za kwenda ku pump lol ndio maana kiharusi na tezi dume havita waacha kisa uroho wa kila aina ya K*MA. Poleni hongereni kwa kuwa na nguvu za kutosha mtazeheka haraka kabla ya umri.
Wanawake watatu kwanza sio wawili. Kuna boya mmoja humu alisema watu mpaka tuone insta ndo tujue wakati ndoa imefungwa ina week sijui watu tunajua. Kampa mimba Aggy tunajua. Bwana harusi ni balaa. Akifika miaka 30 atakua kaoa na kuacha wake wengi sana
 
Ukiacha suala la dini yake kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja ila kumkaribisha mke mwenzio hadharani hivi ni ushujaa uliotukuka. Hongera bi Zainab kwa kukubali mwenzio nyumbani.

View attachment 699033

View attachment 699031




Na nyie wengine mloolewa fanyeni kama Zainab mtupunguze tusio na ndoa mtaani.
Hii raha tele wa ndugu,laiti nisingekuwa,myahudi,ningekuwa Islam,nipate mambo kama haya,saafi kabisa,bila kokoro
 
Back
Top Bottom