DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

Chakula ya wakubwa huyo jamaa kavuta jiko fasta mwanamke kuona soo kakimbilia kupost instagram
 
yani kupewa ukuu wa wilaya tu unamgawa mumeo hivi siku akipewa ukuu wa mkoa si atakimbia hadi ndugu zake,siku ndio kawa waziri mkuu sijui itakuaje.hivi hakumsikia makamo wa raisi mama samia kwamba anampigia mumewe magoti pamoja na cheo chake sasa huyu ukuu wa wilaya tu anaomba kusaidiwa mume ,sidhani kama kuna mapenzi ya dhati hapa.sasa huko kunakomfanya awe bize mpaka ashindwe kumtimizia mumewe yeye je anatimiziwa haja zake na nani? au yeye ni roboti.hivi nyinyi wanawake ni nani aliyewaroga

Ninachojua tu ni kwamba ukiwa na ama Demu au Mke wako halafu yupo ' Mamlakani ' Wewe huku nyuma andika tu ' maumivu ' kwa huko ' Mamlakani ' kuchapiana Mademu au Wake za Watu ni kama Ibada ya Kuunguma ambayo Wakristo huifanya kila Siku za Maombi za Wiki. Tena huyo Kijana naona anastahili ' Tuzo ' ya Uvumilivu kwani kwa ninavyopajua huko ' Mamlakani ' atakuwa ' amechapiwa ' vya Kutosha.
 
Well Spoken kijana
 
Maisha yake uamuzi wake wewe kinakuuma nini
 
Wamefunga nadhani kwenye 6/8/2017 japo sina uhakika sana tarehe ila ni karibia hapo hapo.
image-png.560658
naona kasindikizwa hapo na ma ccm wenzie.....
mtt mdogo miaka 25 unasaidiwa[emoji3] [emoji3]
eti majukumu...ma samia asemeje
 
Itakuwa hakuna ndoa hapo ila wamezima isiwe habari kubwa kuwa wameachana!!!!
 
huyu dc mwenyeww kutwaaa instagram...kupost kupost kupost..show of nyiingi....ataachaje kusaidiwa...umri nao sa ingine kwa viongozi uwe kigezo..km huyu utoto haujamtoka...juzi tu kafanya photoshoot ya birthday[emoji36] [emoji36] [emoji36]
 
du!
 
Inashangaza sana kwakweli....
 
Ninachojua tu ni kwamba ukiwa na ama Demu au Mke wako halafu yupo ' Mamlakani ' Wewe huku nyuma andika tu ' maumivu ' kwa huko ' Mamlakani ' kuchapiana Mademu au Wake za Watu ni kama Ibada ya Kuunguma ambayo Wakristo huifanya kila Siku za Maombi za Wiki. Tena huyo Kijana naona anastahili ' Tuzo ' ya Uvumilivu kwani kwa ninavyopajua huko ' Mamlakani ' atakuwa ' amechapiwa ' vya Kutosha.
umenena
 
huyu dc mwenyeww kutwaaa instagram...kupost kupost kupost..show of nyiingi....ataachaje kusaidiwa...umri nao sa ingine kwa viongozi uwe kigezo..km huyu utoto haujamtoka...juzi tu kafanya photoshoot ya birthday[emoji36] [emoji36] [emoji36]
Huyu DC kafoji umri huwa anawdanganya watu tu Bure kwanza kabla ya kuolewa alikuwa na mtoto , mkubwa tu na pia Vijana Wa uvccm n.k wamepiga sana hapo
 
Mkibanwa mnapiga kelele, haya zai wa watu kaamua haya mmewangu oa kuliko mchepuko... basi mnapiga kelele....

Da zai ruhusu ata wake wa nne itapendeza zaidi
 
Back
Top Bottom