Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yani kupewa ukuu wa wilaya tu unamgawa mumeo hivi siku akipewa ukuu wa mkoa si atakimbia hadi ndugu zake,siku ndio kawa waziri mkuu sijui itakuaje.hivi hakumsikia makamo wa raisi mama samia kwamba anampigia mumewe magoti pamoja na cheo chake sasa huyu ukuu wa wilaya tu anaomba kusaidiwa mume ,sidhani kama kuna mapenzi ya dhati hapa.sasa huko kunakomfanya awe bize mpaka ashindwe kumtimizia mumewe yeye je anatimiziwa haja zake na nani? au yeye ni roboti.hivi nyinyi wanawake ni nani aliyewaroga
Ninachojua tu ni kwamba ukiwa na ama Demu au Mke wako halafu yupo ' Mamlakani ' Wewe huku nyuma andika tu ' maumivu ' kwa huko ' Mamlakani ' kuchapiana Mademu au Wake za Watu ni kama Ibada ya Kuunguma ambayo Wakristo huifanya kila Siku za Maombi za Wiki. Tena huyo Kijana naona anastahili ' Tuzo ' ya Uvumilivu kwani kwa ninavyopajua huko ' Mamlakani ' atakuwa ' amechapiwa ' vya Kutosha.
naona kasindikizwa hapo na ma ccm wenzie.....Wamefunga nadhani kwenye 6/8/2017 japo sina uhakika sana tarehe ila ni karibia hapo hapo.
![]()
Itakuwa hakuna ndoa hapo ila wamezima isiwe habari kubwa kuwa wameachana!!!!naona kasindikizwa hapo na ma ccm wenzie.....
mtt mdogo miaka 25 unasaidiwa[emoji3] [emoji3]
eti majukumu...ma samia asemeje
Enheee wife alisemaje?Ngoja nimuoneshe wife alafu nimsikilize atatoa comment gani
huyu dc mwenyeww kutwaaa instagram...kupost kupost kupost..show of nyiingi....ataachaje kusaidiwa...umri nao sa ingine kwa viongozi uwe kigezo..km huyu utoto haujamtoka...juzi tu kafanya photoshoot ya birthday[emoji36] [emoji36] [emoji36]Itakuwa hakuna ndoa hapo ila wamezima isiwe habari kubwa kuwa wameachana!!!!
du!huyu dc mwenyeww kutwaaa instagram...kupost kupost kupost..show of nyiingi....ataachaje kusaidiwa...umri nao sa ingine kwa viongozi uwe kigezo..km huyu utoto haujamtoka...juzi tu kafanya photoshoot ya birthday[emoji36] [emoji36] [emoji36]
Hata mumewe ni mwana CCM, aligombea 2017 akakatwa!naona kasindikizwa hapo na ma ccm wenzie.....
mtt mdogo miaka 25 unasaidiwa[emoji3] [emoji3]
eti majukumu...ma samia asemeje
Inashangaza sana kwakweli....huyu dc mwenyeww kutwaaa instagram...kupost kupost kupost..show of nyiingi....ataachaje kusaidiwa...umri nao sa ingine kwa viongozi uwe kigezo..km huyu utoto haujamtoka...juzi tu kafanya photoshoot ya birthday[emoji36] [emoji36] [emoji36]
ili tumuone muungwana dah siasa hizi mbaya sanaChakula ya wakubwa huyo jamaa kavuta jiko fasta mwanamke kuona soo kakimbilia kupost instagram
na wewe mumeo kaoa mke wa pili au?Maisha yake uamuzi wake wewe kinakuuma nini
umenenaNinachojua tu ni kwamba ukiwa na ama Demu au Mke wako halafu yupo ' Mamlakani ' Wewe huku nyuma andika tu ' maumivu ' kwa huko ' Mamlakani ' kuchapiana Mademu au Wake za Watu ni kama Ibada ya Kuunguma ambayo Wakristo huifanya kila Siku za Maombi za Wiki. Tena huyo Kijana naona anastahili ' Tuzo ' ya Uvumilivu kwani kwa ninavyopajua huko ' Mamlakani ' atakuwa ' amechapiwa ' vya Kutosha.
Huyu DC kafoji umri huwa anawdanganya watu tu Bure kwanza kabla ya kuolewa alikuwa na mtoto , mkubwa tu na pia Vijana Wa uvccm n.k wamepiga sana hapohuyu dc mwenyeww kutwaaa instagram...kupost kupost kupost..show of nyiingi....ataachaje kusaidiwa...umri nao sa ingine kwa viongozi uwe kigezo..km huyu utoto haujamtoka...juzi tu kafanya photoshoot ya birthday[emoji36] [emoji36] [emoji36]
Labda anapenda threesome!Sasa kwanini mtu uandike hadharani ufurahishe watu wakati unajua moyoni mwako unaumia unamdamganya Mungu wako.