DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

sometimes ukifika juu sana kama unapanda mwamba au sehemu iliyoinuka unapotaka kuruka ..usiruke ukiwa na mawazo ya kusema nimeanguka bali ruka kwa mawazo kua unapaa.When you are at the edge of the cliff dont jump to fall...jump to fly.Mkuu wa wilaya kafika juu na ameamua kuruka kwa kupaaa na sio kuanguka.Flying without wings...
 
Wanawake wa namna hii ni wachache sana. Lakini haya mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja hayajaanza leo. Hata kwa Wakristo, Biblia imeonesha ni jinsi gani watu wa zamani walivyokuwa na mke zaidi ya mmoja na bado MUNGU alikuwa upande wao. Mfano mzuri na Yakobo(Israeli) na mfalme Daudi. Hawa walikuwa na wake wengi na bado MUNGU alikuwa anawabariki usiku na mchana. Ukisoma Biblia utaona jinsi wake za Yakobo walivyomruhu alale na "mahouse girl" wao pia tena bila kinyongo kabisa.

Mimi huwa nasema kuwa MUNGU huwa anajali sana kilicho ndani ya "roho" ya mtu na siyo mambo ya mwili kama kuwa na wake wangapi. MUNGU ni Roho, na yeye huangalia zaidi yale yaliyo ya "rohoni". Kama unampenda MUNGU kwa moyo wako wote na kuzishika "Amri" zake, basi hata kama utaoa wanawake 100 wala yeye hana shida. Pia ukisoma Amri zote za MUNGU hakuna hata moja inayokataza kuoa mke zaidi ya mmoja, hakuna, siyo kwenye agano la kale wala siyo kwenye agano jipya.
acha ushamba wewe,Ukristo umeanza baada ya Yesu kuja kuleta wokovu miaka 2000 iliyopita,hao unaowasema hawakuwa wakristo,kuwa mkristo maan yake u mfuasi wa krist.

~Nakushangaen sana wakristo hmjui hata biblia ndio maana mmebaki na mesale ya waumini,

Yesu alipokuja mambo ya torati yaliachwa na sasa yamekuwa mapya,Mke mmoja mme mmoja!

alikuja kuitimiliza tautat
 
acha ushamba wewe,Ukristo umeanza baada ya Yesu kuja kuleta wokovu miaka 2000 iliyopita,hao unaowasema hawakuwa wakristo,kuwa mkristo maan yake u mfuasi wa krist.

~Nakushangaen sana wakristo hmjui hata biblia ndio maana mmebaki na mesale ya waumini,

Yesu alipokuja mambo ya torati yaliachwa na sasa yamekuwa mppya,Mke mmoja me mmoja
Nioneshe ni wapi kwenye Agano jipya imeandikwa hakuna ruhusa kuao mke zaidi ya mmoja. Usiniambie kuhusu 1 TIMOTHEO 3:2, 1 TIMOTHEO 3:12, TITO 1:6 sababu hivi vifungu vinazungumzia kuhusu "Maaskofu na Mashemasi" na siyo waumini wote.

Sasa wewe nioneshe ni wapi imeandikwa Mkristo na asiwe na mke zaidi ya mmoja. Halafu acha kumsingizia YESU uwongo, hakuja kuifuta Torati wala kuibadilisha. Tena alisema hivi; "Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua Torati au manabii; la sikuja kutangua bali kutimiliza. Kwa maana amini nawaambia, mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka yodi moja, wala nukta moja ya Torati haitaondoka hata yote yatimie". MATHAYO 5:17-19

Kwa taarifa yako Torati itaendelea kutumika mpaka siku ya mwisho atakaporudi MESSIAH. Kuna baadhi tu za "sheria" zilizorekebishwa na MESSIAH, lakini zingine zote ziko pale pale.
 
Mwanaume mwenye akili atashtuka. Ila mjinga atakuona una dini kweli kumbe na wewe unamuweka mbali ujilie vizuri vitu vyako.
Yaani aoe tu, ikiwezekana na mahari nampa mimi.
Badaa ya ndoa na mimi ataniona nipo full busy na vikao vya kazi. Ikiwezekana hadi asubuhi
 
Yaani aoe tu, ikiwezekana na mahari nampa mimi.
Badaa ya ndoa na mimi ataniona nipo full busy na vikao vya kazi. Ikiwezekana hadi asubuhi
Hahahaaaa. Jeuri mwenzie kUsudi
 
Hahahaaaa. Jeuri mwenzie kUsudi
Jamaa alinitumia hiyo screenshot ya bibie DC, na caption kuwa mi ningeua mtu. Nikamjibu, afadhali nipate msaidizi maana ofisini kuna nafasi ya kazi mkoa mwingine, cheo kikubwa zaidi, acha niiombe. Vipi nianze kukutafutia msaidizi au utatafuta mwenyewe? Wewe, kashtuka huyo, hadi nikaogopa.
Kaanza kusema Siku ukinikubalia nioe/ nichepuke hata huko kwa bimdogo haitasimama. Haya mambo inatakiwa niyafanye kwa siri, siyo kwa msaada wako.
 
Huyo ndo mwanaume sasa.
 
kama ana moyo basi amkalibishe kitandan kwake, wawe wananyonya na kubinuliwa wote. ashiiii! wapo kazini
 
Back
Top Bottom