DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

Ukiona mwanaume anaunga mkono hii hoja ujue ni mjinga na kakubali kua kilaza
Mimi siwezi kua na mke zaidi ya mmoja
 
Hapana! Maana silazima wote tufanane mitazamo ila kunamambo ambayo yapogo waziiii
Sasa hapo kwenye idadi ya wake uwazi ni upi kwa mfano.Idadi ipi ni sahihi na Kwasababu gani ni sahihi na kwa nini otherwise sio sahihi?

Kuna haja ya kutofautisha Kati ya opinion na fact...Fact haina ubishani inasimama yenyewe.Lakini kuna vitu ambavyo ni opinions tu za watu na wala mwingine hapaswi kuona opinion yake ni fact.

Kwa hiyo opinion yangu naona sio sahihi kumwona mtu ni mjinga kisa tu ana opinion tofauti na wewe kwenye suala ambalo ukweli wake haujulikani au unatofautiana kiimani
 
Hiyo dini inakubali ndoa za hadi wake 4

Lakini, haobwanawake wao hawakubali kabisa kuletewa msaidizi

Wanaokubali kiroho upande ni wale mwanaume mwenye uwezo wa kiuchumi sana.Hivyo anakomaa hivyo hivyo kwa sababu ya prestige na maisha ya kitonga

Wengine wanaofanikiwa ni wale mamwinyi wanaotumia ulinzi wa yale madude yasiyoonekana ambayo huwa yanafukuzwa na walokole yale ambayo nayo huongea lugha mojawapo ya middle East na husali vilevile kwenye nyumba mojawapo ya ibada
 
Back
Top Bottom