Kuchapiwa ni siri ya ndani!!!Ukiona mkeo hana wasiwasi wewe kuwa na mwanamke mwingine, think twice, labda unachapiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuchapiwa ni siri ya ndani!!!Ukiona mkeo hana wasiwasi wewe kuwa na mwanamke mwingine, think twice, labda unachapiwa.
OkayUkiacha suala la dini yake kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja ila kumkaribisha mke mwenzio hadharani hivi ni ushujaa uliotukuka. Hongera bi Zainab kwa kukubali mwenzio nyumbani.
View attachment 699033
View attachment 699031
Na nyie wengine mloolewa fanyeni kama Zainab mtupunguze tusio na ndoa mtaani.
Na unaona mtu yoyote asiyekuwa na mtazamo kama wako ni mjinga?Si unagombana Sana huko mtaani kwenu?Ukiona mwanaume anaunga mkono hii hoja ujue ni mjinga na kakubali kua kilaza
Mimi siwezi kua na mke zaidi ya mmoja
Hapana! Maana silazima wote tufanane mitazamo ila kunamambo ambayo yapogo waziiiiNa unaona mtu yoyote asiyekuwa na mtazamo kama wako ni mjinga?Si unagombana Sana huko mtaani kwenu?
Sasa hapo kwenye idadi ya wake uwazi ni upi kwa mfano.Idadi ipi ni sahihi na Kwasababu gani ni sahihi na kwa nini otherwise sio sahihi?Hapana! Maana silazima wote tufanane mitazamo ila kunamambo ambayo yapogo waziiii
😅😅😅😅😅😅Hiyo ndio dini ya kweli sio huku kwetu eti mke moja kama pua.