DC Shaka awabana 2 uuzaji wa ardhi ya kijiji, Wengine 48 watafutwa na Jeshi la Polisi

DC Shaka awabana 2 uuzaji wa ardhi ya kijiji, Wengine 48 watafutwa na Jeshi la Polisi

Hata akitetea haimpi uhalali wa kiwa kiongozi huku Tangangika. Nyerere alitetea Zimbabwe uliona ameenda kuwa kiongozi huko?
Vipi uhalali wa hao watanganyika kuuza ardhi kama njugu?
 
DC Shaka awabana 2 Wengine 48 watafutwa na Jeshi la Polisi

Jeshi la Polisi wilayani kilosa limewatia mbaroni watu wawili akiwemo Mwenyekiti wa Kitongoji cha Msowero A, Petro Sanga (Paroko) mwenzake, Awadh Ngajime kwa tuhuma za kuuza ardhi (eneo la mlima) mali ya kijiji cha Msowero, wilayani Kilosa.

Pia, inaendelea kuwatafuta watu wengine 48 ambao wanaosadikiwa kuwa sehemu ya mtandao uliohusika kuuza kinyume na utaratibu ekari 1158 za Kijiji zilizopo katika mlima huo.

Hayo yalibainika wakati wa mkutano wa hadhara kusikiliza kero za wanachi katika Kata ya Msowero uliotishwa na Mkuu wa Wilaya ya KIlosa Shaka Hamdu Shaka mwishoni mwa wiki kijjijini hapo.
View attachment 2983109
shaka mtoto wa watu
mpelembwe wa Tanga
 
Vipi uhalali wa hao watanganyika kuuza ardhi kama njugu?
Siyo lazima awe mzanzibar ndipo ajue ni kosa. Hata Mkaguru wa kawaida tu hapo Kilosa anajua hilo ni kosa. Hao wachukuliwe hatua tu kama wahalifu wengine.
 
Back
Top Bottom