Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Bi. Victoria Mwanziva, amesema toka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DKT. Samia Suluhu Hassan aingie madarakani Halmashauri ya Manispaa ya Lindi wamepokea zaidi ya shilingi bilioni 82 za miradi mbalimbali ya maendeleo
Pia, Soma: DC Lindi Victoria Mwanziva aendelea na ziara ya ukaguzi wa miradi na kusikiliza changamoto za Wananchi