Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,770
- 25,419
Alipata intel kwa aliyempa intel, akamkamata mshukiwa na kidhibiti!
Story ikawa nzuri mpaka hapo.
Baadae akaamua kuiharibu story kwa kujua na kunuia au labda kwa kutokujua.
Akaanza kumhoju mtuhumiwa mbele ya Camera na mtuhumiwa akawataja wenzie mbele ya camera.
Saa saba mchana! Waliotajwa sio wajinga kiivyo.
Hawawezi kupatikana kirahisi tena.
Mheshimiwa Lengai Ole Sabaya, ulikuwa na nia kweli ya kutokomeza tatizo au kujipatia umaarufu na kuacha tatizo liendelee.
Mbona sisi tunayaona na kusikia mengi tu na tunaachia vyombo husika vifanye kazi yake?
Msipende sana sifa!
Kichaa yule mkuu!
Jiwe watu wake ni vichaa!
Hamna watu mle!