Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,770
- 25,419
Alipata intel kwa aliyempa intel, akamkamata mshukiwa na kidhibiti!
Story ikawa nzuri mpaka hapo.
Baadae akaamua kuiharibu story kwa kujua na kunuia au labda kwa kutokujua.
Akaanza kumhoju mtuhumiwa mbele ya Camera na mtuhumiwa akawataja wenzie mbele ya camera.
Saa saba mchana! Waliotajwa sio wajinga kiivyo.
Hawawezi kupatikana kirahisi tena.
Mheshimiwa Lengai Ole Sabaya, ulikuwa na nia kweli ya kutokomeza tatizo au kujipatia umaarufu na kuacha tatizo liendelee.
Mbona sisi tunayaona na kusikia mengi tu na tunaachia vyombo husika vifanye kazi yake?
Msipende sana sifa!

Sabaya tangu alipo jifanya ni mwana usalama nikakosa imani nayeKichaa yule mkuu!
Jiwe watu wake ni vichaa!
Hamna watu mle!
Ni aibu sana kuwa na viongozi wa aina ya Sabaya
Sabaya tangu alipo jifanya ni mwana usalama nikakosa imani naye
Mkuu wa mkoa wa kilimanjaro mbn haskiki.....DC wanatambaa
Ova
Naona Hawa madc wako kwa mkakati maalumMama mtu mzima yule...unataka ashindane na hawa vilaza ambao hawakuandaliwa kuwa viongozi...Jiwe sijui anaiwaokotaga wapi tu hawa jamaa?
Hii ni Tanzania mpya mkuu...Yaani Sabaya anapata wapi hiyo mandate ya kumhoji mtuhumiwa?
Ni aibu sana kuwa na viongozi wa aina ya Sabaya
Uongozi unazidi kukosa maana!Ni aibu sana kuwa na viongozi wa aina ya Sabaya
Ma DC wengi wako hivyo mkuu, wanakwenda vituo vya Polisi wanaforce kupewa mahabusu wawahoji. Mbona mifano iko mingi??Yaani Sabaya anapata wapi hiyo mandate ya kumhoji mtuhumiwa?
Ma DC wengi wako hivyo mkuu, wanakwenda vituo vya Polisi wanaforce kupewa mahabusu wawahoji. Mbona mifano iko mingi??