Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ni lazima hao watoto wakae hapo? waondolewe hapo waende shuleWewe ndiye huna akili kwa vile huelewi nilimaanisha nini. Baada ya kuagiza watoto warudishwe kwao alishambuliwa sana na wavaa kobaz ndiyo akagundua kuwa jambo alilofanya lingeleta mtafaruku wa kidini ndiyo akaja na plan B ya kuleta cement as a damage control.
Dini zimekuja kutufanya majuha kabisa..... Hapa ishu ni mazingira mabovu watoto walipokua haijalishi wanasoma biblia au quran ishu ni usalama wao.Yupo mmoja humu kaanzisha hadi uzi wa kimihemuko; Mkono Mmoja.
Mkuu una mambo mchanganyiko sana kama unga wa ngano.Ni lazima hao watoto walelewe hapo msikitini kwanini wasipelekwe shule wakapate elimu watoe ujinga?
Hiyo inaitwa "demage control" aligundua hawezi kushinda hiyo vita ya imani ya watu na endelea kubaki public fingure salama...........Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti ametoa mifuko ya saruji 300 akianza kutanguliza mifuko 150 kwa ajili ya ujenzi wa bweni (hosteli) litakalotumika kwa ajili ya Watoto wanaopata mafunzo ya Dini ya Kiislamu Wilayani hapo ikiwa ni siku mbili tangu alipotoa maelekezo ya kusitishwa kulaza Watoto Msikitini hapo kutokana na mazingira kutokuwa rafiki ya kufundishia na kulaza watoto.
View attachment 3041341
Mifuko 150 imetolewa kwa Msikiti wa FALAF na Mifuko mingine 150 imetolewa kwa Msikiti wa Abdul-Aziz-Asharqiy, kwaajili ya Mabweni ili Watoto wasomee mazingira mazuri ambapo Misikiti yote ipo Kiluvya Madukani Wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani
DC Magoti alifika eneo la tukio akiwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama na kukuta Watoto 96 wapo kituoni hapo na kumuelekeza Sheikh wa Msikiti kusitisha huduma hiyo na kuagiza Watoto hao warejeshwe kwenye famili zao.
Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo, DC Magoti amesema:
Lengo kubwa la Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan ni kuwa kila shughuli lazima tushirikishe viongozi wa dini, mimi nikiwa Msaidizi wake ngazi ya Wilaya, tulipopata taarifa kuhusu uwepo wa mazingira haya ambayo sio mazuri tukaona tuwatoe ili ufanyike utaratibu mzuri ili kuboresha mazingira.
Ikiwa Serikali inaweza kujenga miundombinu ya gharama kubwa kwa nini tushindwe kujenga hosteli nzuri na ya kisasa kwa faida ya Watoto wetu!
Baada ya kutoa maelekezo ya Watoto kuondolewa pale, kesho yake nilirejea eneo la tukio Usiku wa Saa Nne nikakuta utekelezaji umefanyika wa kuwaondoa Watoto hao.
Mimi naheshimu sana dini, natambua ndio inaleta upendo, mshikamano na viongozi wa dini mnafanya kazi kubwa sana.
Kwa leo kwa kuanzia, nimeleta mifuko 150 ya saruji kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa hosteli.
Wale wanaotaka kutuchonganisha tuwakemee na kuwataka nao waje kuchangia ili Ujenzi uishe mapema watoto waendelee na Masomo.
Mimi kama mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama ni jukumu langu kuangalia usalama wa Watu wote wa Kisarawe.
Niwaombe, lengo lenu ni zuri lakini twendeni kwa haraka ili tujenge hosteli ya kisasa na itakayokuwa na mazingira bora.
Pia soma: Kisarawe: DC Petro Magoti ameutaka Msikiti unaotoa elimu ya dini kwa watoto 96, kuwarudisha walipowatoa sababu ya Mazingira Mabovu ya malazi
Anajikosha!!! Hatudanganyiki. Msimamo wetu uko palepaleMkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti ametoa mifuko ya saruji 300 akianza kutanguliza mifuko 150 kwa ajili ya ujenzi wa bweni (hosteli) litakalotumika kwa ajili ya Watoto wanaopata mafunzo ya Dini ya Kiislamu Wilayani hapo ikiwa ni siku mbili tangu alipotoa maelekezo ya kusitishwa kulaza Watoto Msikitini hapo kutokana na mazingira kutokuwa rafiki ya kufundishia na kulaza watoto.
View attachment 3041341
Mifuko 150 imetolewa kwa Msikiti wa FALAF na Mifuko mingine 150 imetolewa kwa Msikiti wa Abdul-Aziz-Asharqiy, kwaajili ya Mabweni ili Watoto wasomee mazingira mazuri ambapo Misikiti yote ipo Kiluvya Madukani Wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani
DC Magoti alifika eneo la tukio akiwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama na kukuta Watoto 96 wapo kituoni hapo na kumuelekeza Sheikh wa Msikiti kusitisha huduma hiyo na kuagiza Watoto hao warejeshwe kwenye famili zao.
Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo, DC Magoti amesema:
Lengo kubwa la Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan ni kuwa kila shughuli lazima tushirikishe viongozi wa dini, mimi nikiwa Msaidizi wake ngazi ya Wilaya, tulipopata taarifa kuhusu uwepo wa mazingira haya ambayo sio mazuri tukaona tuwatoe ili ufanyike utaratibu mzuri ili kuboresha mazingira.
Ikiwa Serikali inaweza kujenga miundombinu ya gharama kubwa kwa nini tushindwe kujenga hosteli nzuri na ya kisasa kwa faida ya Watoto wetu!
Baada ya kutoa maelekezo ya Watoto kuondolewa pale, kesho yake nilirejea eneo la tukio Usiku wa Saa Nne nikakuta utekelezaji umefanyika wa kuwaondoa Watoto hao.
Mimi naheshimu sana dini, natambua ndio inaleta upendo, mshikamano na viongozi wa dini mnafanya kazi kubwa sana.
Kwa leo kwa kuanzia, nimeleta mifuko 150 ya saruji kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa hosteli.
Wale wanaotaka kutuchonganisha tuwakemee na kuwataka nao waje kuchangia ili Ujenzi uishe mapema watoto waendelee na Masomo.
Mimi kama mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama ni jukumu langu kuangalia usalama wa Watu wote wa Kisarawe.
Niwaombe, lengo lenu ni zuri lakini twendeni kwa haraka ili tujenge hosteli ya kisasa na itakayokuwa na mazingira bora.
Pia soma: Kisarawe: DC Petro Magoti ameutaka Msikiti unaotoa elimu ya dini kwa watoto 96, kuwarudisha walipowatoa sababu ya Mazingira Mabovu ya malazi
Alifanya vizuri kutetea usalama wa watoto. Kelele za wadini zimempa wazo la kuhakikisha hatua zake hazichanganywi na udini.Walioanza kulalamika tena kwa mlengo wa "udini" bila shaka watabadili gia angani.....
Kama mtu anataka kufanya biashara ya kutoa elimu kwa watoto si awekeze mtaji wake!? Na kama hana mtaji anachukua watoto wa watu kwa nini!?hehe! niliwaza hivi kumbe wapo wenye hekima wamemshauli haya ni step nzuri..
Bila kukemewa unafikiri angetoka kuchangia. Post yangu niliyoiandika imewafikia wakubwa zake na wamemsihi apunguze Munkari katika maamuzi yake.Walioanza kulalamika tena kwa mlengo wa "udini" bila shaka watabadili gia angani.....
Kabisa..tuushukuru uongozi wa Jamii forums kwa kutupa nafasi ya kuikosoa serikali na viongozi wake. Ile post yangu ya juzi imemfikia Dc petro na viongozi wenzakeAnajikosha tu baada ya kugundua ameyakanyaga. Kama lengo lilikuwa hilo angeenda na hizo cement tokea mwanzo.
Kwani huyu mkuu wa wilaya hawezi kutoa hiyo mifuko 300? Au kwasababu ana chuku na Imani ya uislamu.Bila kukemewa unafikiri angetoka kuchangia. Post yangu niliyoiandika imewafikia wakubwa zake na wamemsihi apunguze Munkari katika maamuzi yake.
Anyways ,tunampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutoa msaada wa mifuko 300 ya cement ili kuharakisha ujenzi wa kituo hicho cha mafunzo ya kiislam.
Binadam hawana wema kaka, kila mtu anajikuta mtukufu hapa. Hakuna utakachofanya binadamu waone jema lako, Tangu mwanzo mheshimiwa alionesha nia njema na ndiomaan alikuwa tayri hata kuchangia nauli watoto warudishwe makwao kupisha ujenzi,Sahivi kesi imekua ni kuchangia cement na kamera?? Sio tena kuzuia watoto wasifundishiwe katika mazingira mabaya na majengo mabovu???
Ni heri alivochangia na camera make kwa jinsi hali ya hewa ilivoanza kuchafuka, hii ni sawa kabisa.
Nampongeza kwa kusimamia ulinzi na usalama wa watoto.
Hakika kabisa, mi nnaona ni jambo jema sana alifanya kuwalinda watoto na mazingira mabaya.....cha ajabu walimwengu tunaingiza ujinga ujinga wa dini.Binadam hawana wema kaka, kila mtu anajikuta mtukufu hapa. Hakuna utakachofanya binadamu waone jema lako, Tangu mwanzo mheshimiwa alionesha nia njema na ndiomaan alikuwa tayri hata kuchangia nauli watoto warudishwe makwao kupisha ujenzi,
Shida watanzania tumejaa udini wa kipumbavu sana kiasi cha kufanya watu wasifikiri
Hata mzee mstaafu Mangula anamjua vizuri!Msanii mzuri sana wa maigizo!
Angeanza na shule za ummah zisio kua hata na matundu ya vyoo......ache wsislamu wanafundishwa dini yao hata chini ya miti.Binadam hawana wema kaka, kila mtu anajikuta mtukufu hapa. Hakuna utakachofanya binadamu waone jema lako, Tangu mwanzo mheshimiwa alionesha nia njema na ndiomaan alikuwa tayri hata kuchangia nauli watoto warudishwe makwao kupisha ujenzi,
Shida watanzania tumejaa udini wa kipumbavu sana kiasi cha kufanya watu wasifikiri