GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Jamaa anakanyaga matako baadala ya kuyapapasaπ€£π€£π€£π€£π€£
Hii mila ya wenzetu wa Kusini ilinishangaza sana. Niliambiwa nipite nikiwakanyaga migongoni na makalioni kinamama na hata Bibi harusi nikashikwa woga, sikuweza kufanya hivyo. Lakini wenyewe waliwakanyaga bila hata ya woga ili kutekeleza mila zao. Tembea uyaone.
Unakuta mtu hiyo kazi haipendi anatafuta namna ya kupangiwa kazi nyingine
Popoma huyo huwezani naye. Licha ya kupata A ya English O & A level pia ni Tiss na ni wale wachache waliojua kifo cha marehemu Jiwe kabla hakijatangazwa.Umeona wapi duniani kote kunaandaliwa Mbio za Mita ndefu na fupi za Wamama Wajawazito kama ambayo umeyaandaa Wewe na nashangaa Serikali ( hasa Wizara husika ya Afya ) kulikalia hili Kimya.
Leo umekuja na huu Upuuzi wako juu ya Wamama Wajawazito ila nionavyo kuna Siku utakuja na Mbio za Mita fupi na ndefu za Wanawake walioko Hedhini ( Period ) na waliovaa Sodo ( Pedi )
Mbona hukuja na huu Upuuzi wako Tukuka Kipindi kile nawe una Kibendi ( Mimba ) ili uanze kwa kutuonyeshea Mfano kwa Kukimbia ili uzalie Mtoto katikati ya hizo Mbio na uone madhara yake Kiafya?
Acheni kulazimisha tuwadharau Ok?