MwanaWA Ebrania
JF-Expert Member
- Oct 6, 2017
- 939
- 1,147
Kiafya: wajawazito wanashauriwa kufanya mazoezi kila wakati wajisikiapo vizuri, ili kuwafanya watoto waliopo tumboni wawe na afya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hana adabu kabisa huyu jaluoAcheni makasiriko wandugu.
Ya NAPPE NNAUYE kukanyaga migongo ya wakosa akili hujayaona.
Wamlete kwetu Tabora Mjini tunahitaji huyo DC.
Hayo mashindano ni hiali na sio lazima.Halafu hiyo pia ni mazoezi kea kina mama.
Usimruhusu mkeo uone Kama DC atakukamata.
Ana akili Sana huyo Dada.
Punguza hasira,yasiyokuhusu angalia pembeni.
Wewe ndo mtu mbaya,mpaka maswala ya Period inakujaje.
UMKOME MBUZI WEWE,SIO SAIZI YAKO.
😁 sawa broHakuna Mimba hapa Pichani ni Usanii.
kwani hii nchi ni kama korea kusini ambako raia haruhusiwi hata kunyoa mtindo anaounyoa rais wake?Kama yule DC sumbawanga huko alimuigiza samia, hadi kuvaa na ulinzi wa wanawake alivoliwa kichwa
Hata Mimi niliposikia nilibaki mdomo waziUmeona wapi duniani kote kunaandaliwa Mbio za Mita ndefu na fupi za Wamama Wajawazito kama ambayo umeyaandaa Wewe na nashangaa Serikali ( hasa Wizara husika ya Afya ) kulikalia hili Kimya.
Leo umekuja na huu Upuuzi wako juu ya Wamama Wajawazito ila nionavyo kuna Siku utakuja na Mbio za Mita fupi na ndefu za Wanawake walioko Hedhini ( Period ) na waliovaa Sodo ( Pedi )
Mbona hukuja na huu Upuuzi wako Tukuka Kipindi kile nawe una Kibendi ( Mimba ) ili uanze kwa kutuonyeshea Mfano kwa Kukimbia ili uzalie Mtoto katikati ya hizo Mbio na uone madhara yake Kiafya?
Acheni kulazimisha tuwadharau Ok?
Kwanza zitasaidia akinamama kujifungiua haraka na bila matatizoLakini huyu ndiye DC anaye shine kila wilaya anayopangiwa. Naona unamtolea povu jingi na kali. Huenda hizi mbio zitaingiza fedha nyingi kuweza kutimiza lengo lake. Mbona kuna wanawake ambao wana nguvu nyingi kufanya kazi ngumu mpaka tarehe ya kujifungua, kuna wengine hukimbia huku wakiwa na mimba zao kiasi cha kuwaonea huruma wasisumbue kiumbe kilichopo tumboni. Anyway, huyu ndiye dc mbunifu kuliko ma dc wote
Anafanya vzr kwa vigezo gani??unampima dc anayefanya vzr kwa KPI zipi??Lakini huyu ndiye DC anaye shine kila wilaya anayopangiwa. Naona unamtolea povu jingi na kali. Huenda hizi mbio zitaingiza fedha nyingi kuweza kutimiza lengo lake. Mbona kuna wanawake ambao wana nguvu nyingi kufanya kazi ngumu mpaka tarehe ya kujifungua, kuna wengine hukimbia huku wakiwa na mimba zao kiasi cha kuwaonea huruma wasisumbue kiumbe kilichopo tumboni. Anyway, huyu ndiye dc mbunifu kuliko ma dc wote
Lakini huyu ndiye DC anaye shine kila wilaya anayopangiwa. Naona unamtolea povu jingi na kali. Huenda hizi mbio zitaingiza fedha nyingi kuweza kutimiza lengo lake. Mbona kuna wanawake ambao wana nguvu nyingi kufanya kazi ngumu mpaka tarehe ya kujifungua, kuna wengine hukimbia huku wakiwa na mimba zao kiasi cha kuwaonea huruma wasisumbue kiumbe kilichopo tumboni. Anyway, huyu ndiye dc mbunifu kuliko ma dc wote
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Nikimuona Jokate nakumbuka movie yao ya "Fake Pastors" miaka kadhaa nyuma
Jokate ni msanii haswa!
Kikatiba Wakuu wa wilaya hawana kazi za kufanya so vitu jama hivyo vina wa keep busy.Umeona wapi duniani kote kunaandaliwa Mbio za Mita ndefu na fupi za Wamama Wajawazito kama ambayo umeyaandaa Wewe na nashangaa Serikali ( hasa Wizara husika ya Afya ) kulikalia hili Kimya.
Leo umekuja na huu Upuuzi wako juu ya Wamama Wajawazito ila nionavyo kuna Siku utakuja na Mbio za Mita fupi na ndefu za Wanawake walioko Hedhini ( Period ) na waliovaa Sodo ( Pedi )
Mbona hukuja na huu Upuuzi wako Tukuka Kipindi kile nawe una Kibendi ( Mimba ) ili uanze kwa kutuonyeshea Mfano kwa Kukimbia ili uzalie Mtoto katikati ya hizo Mbio na uone madhara yake Kiafya?
Acheni kulazimisha tuwadharau Ok?
Mama VunjabeiHizi mbio zipigwe marufuku zisije zikaleta madhara
Yani kijoketi tangu kizae basi kINAJIFANYA kinajua mambo ya uzazi
Hovyo kabisa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Popoma huyo huwezani naye. Licha ya kupata A ya English O & A level pia ni Tiss na ni wale wachache waliojua kifo cha marehemu Jiwe kabla hakijatangazwa.
Wewe vizia tu ubwabwa na kukusanya umbea hapo msibani kwa mkono.
Mbwiga ww
Jokate mongelo kutoka kucheza Uchida na kujikojolea majukwaani hadi kuwa DC hahah inashangaza sanaUmeona wapi duniani kote kunaandaliwa Mbio za Mita ndefu na fupi za Wamama Wajawazito kama ambayo umeyaandaa Wewe na nashangaa Serikali ( hasa Wizara husika ya Afya ) kulikalia hili Kimya.
Leo umekuja na huu Upuuzi wako juu ya Wamama Wajawazito ila nionavyo kuna Siku utakuja na Mbio za Mita fupi na ndefu za Wanawake walioko Hedhini ( Period ) na waliovaa Sodo ( Pedi )
Mbona hukuja na huu Upuuzi wako Tukuka Kipindi kile nawe una Kibendi ( Mimba ) ili uanze kwa kutuonyeshea Mfano kwa Kukimbia ili uzalie Mtoto katikati ya hizo Mbio na uone madhara yake Kiafya?
Acheni kulazimisha tuwadharau Ok?
Ila ndugu ujinga tafsiri yake ni kuto kuwa waelevu, sasa siyo waelevu kwa lipi.Mi naona hao wanawake wataoenda huko kuhataraisha maisha ni wajinga kama huyo single maza