Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Sep 1, 2024 #1 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Mhe. Marko Henry Ng'umbi, Mkuu wa Wilaya ya Longido. Pia soma: ~ Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe! ~ Kuelekea 2025 - DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa! ~ Askari wa Jeshi la Polisi athibitisha jinsi wanavyosaidia kuiba kura ili CCM ibaki madarakani, ni aibu!
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Mhe. Marko Henry Ng'umbi, Mkuu wa Wilaya ya Longido. Pia soma: ~ Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe! ~ Kuelekea 2025 - DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa! ~ Askari wa Jeshi la Polisi athibitisha jinsi wanavyosaidia kuiba kura ili CCM ibaki madarakani, ni aibu!
Lanlady JF-Expert Member Joined Feb 27, 2019 Posts 1,836 Reaction score 6,303 Sep 1, 2024 #2 Kazi kwelikweli
Mpatuka JF-Expert Member Joined Nov 15, 2015 Posts 2,261 Reaction score 3,580 Sep 1, 2024 #3 Alizingua na kauli zake
T Top gear JF-Expert Member Joined Sep 18, 2023 Posts 1,199 Reaction score 3,449 Sep 1, 2024 #4 Hii imeenda.
Mzee Mwanakijiji Platinum Member Joined Mar 10, 2006 Posts 33,771 Reaction score 41,027 Sep 1, 2024 #5 Wataanza kuchunga makanwa yao..walisahau ya Nape...
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 24,262 Reaction score 58,728 Sep 1, 2024 #6 Taarifa kwa umma fupi zaidi kuwahi kutolewa. Sentensi moja. Cc ephen_ min -me
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 17,080 Reaction score 33,076 Sep 1, 2024 #7 Aliongea ukweli wanavyofanya huko maporini ndio maana wanapata hizo teuzi..
Mkunazi Njiwa JF-Expert Member Joined Apr 22, 2023 Posts 8,538 Reaction score 7,559 Sep 1, 2024 #8 Mh.Samia Suluhu Hassan Rais wetu bora asiyevumilia ujinga wa watendaji wake...
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Sep 1, 2024 Thread starter #9 Mpatuka said: Alizingua na kauli zake Click to expand... Katoa siri ya kambi
edon66 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 2,907 Reaction score 9,135 Sep 1, 2024 #10 Nasubiri mwingine ajichanganye npo hapa nawaangaliaa shenziii kbs
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Sep 1, 2024 Thread starter #11 Top gear said: Hii imeenda. Click to expand... Kauli yake ichunguzwe kama inaukweli arudishwe..
S Sappire JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 3,447 Reaction score 8,896 Sep 1, 2024 #12 Ili wamasai wanyang'anywe rasmi ardhi yao.huyu bibi huyu!
Mamtolo Senior Member Joined Feb 27, 2018 Posts 186 Reaction score 208 Sep 1, 2024 #13 Inside10 said: View attachment 3084397 Click to expand... Alisahau wakati wa kula hupaswi kusemasema....wamekula kichwa
Inside10 said: View attachment 3084397 Click to expand... Alisahau wakati wa kula hupaswi kusemasema....wamekula kichwa
Mkunazi Njiwa JF-Expert Member Joined Apr 22, 2023 Posts 8,538 Reaction score 7,559 Sep 1, 2024 #14 Mh.Rais havumilii ujinga.... Kudos mh.Rais SSH[emoji2956]
Mkunazi Njiwa JF-Expert Member Joined Apr 22, 2023 Posts 8,538 Reaction score 7,559 Sep 1, 2024 #15 edon66 said: Nasubiri mwingine ajichanganye npo hapa nawaangaliaa shenziii kbs View attachment 3084399 Click to expand... [emoji7]
edon66 said: Nasubiri mwingine ajichanganye npo hapa nawaangaliaa shenziii kbs View attachment 3084399 Click to expand... [emoji7]
Mchumi90 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2015 Posts 1,099 Reaction score 1,315 Sep 1, 2024 #16 Precious Diamond said: View attachment 3084395 Click to expand... πππππ
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Sep 1, 2024 #17 Hichi ndiyo kilichokua kinafuata... Cc: Mahondaw
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 24,262 Reaction score 58,728 Sep 1, 2024 #18 Payge unga huu Uzi Cc ephen_
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Sep 1, 2024 #19 Kumekuchaaaaa!!!
Mrao keryo JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 1,901 Reaction score 2,566 Sep 1, 2024 #20 Alifanyaje?