Pre GE2025 DC wa Longido aliyesema alihusika kutengeneza mazingira ya Madiwani kushinda 2020 atenguliwa

Pre GE2025 DC wa Longido aliyesema alihusika kutengeneza mazingira ya Madiwani kushinda 2020 atenguliwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ameenguliwa kwa kusema ukweli!
SSH atuambie je alichosema huyu ni kweli au siyo? Au ameona aibu kwa siri kufichuliwa na huyu mjinga?
 
Kasema ukweli na kaadhibiwa kwa kusema ukweli.Watu mnaoiba kura na kufanya mambo ya ovyo..kama huyo alisema..kuna mambo walifanya misituni..tunaamini dhamira zenu zinawachoma, na mtatoka mmoja baada ya mmoja...
Ukweli utasemwa tu
DC ndio wale watekaji na wasiojulikana na inaonekana ameishafanya mambo makubwa ya kutisha ndio maana akasema yeye ni mtu asiyeogopa.
 
Back
Top Bottom