Pre GE2025 DC wa Longido aliyesema alihusika kutengeneza mazingira ya Madiwani kushinda 2020 atenguliwa

Pre GE2025 DC wa Longido aliyesema alihusika kutengeneza mazingira ya Madiwani kushinda 2020 atenguliwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Iundwe Tume ya Ki Jaji ya Maridhiano ili tetesi za kubaini kinachoendelea nchini walichosema waziri Nape M. Nnauye, DC Marko Henry Ngumbi na wengine watakaokuwa Wazalendo kujitokeza viwekwe bayana.

Na pia ripoti yake iwekwe katika makumbusho ya Taifa ili viongozi na serikali wasije tena kukengeuka kufanya ukatili, kuchafua chaguzi n.k

Hii ya kumtimua / kutumbua haitoshi, lazima serikali iliyopo madarakani iende hatua moja zaidi kwa kuunda Tume Huru kuchunguza udhalimu huu.

1725204584377.png

Picha: Marko Henry Ng'umbi mkuu wa wilaya ya Longido nchini Tanzania.
 
Anatumbuliwa kwa kusema ukweli?

Mkuu wa wilaya amesema ukweli, Nape alisema ukweli, Samia hataki watu wajue ukweli.
Yanayofanyika sirini yabaki sirini. Hata kwenye vyama vya upinzani kuna ya sirini yanafanyika na hayatakiwi kusemwa.
Ikitokea mmoja anasema ya sirini huyo sio mmoja kati ya wahitajika sirini, lazima aliwe kichwa.

This is how system works!
 
Back
Top Bottom