uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Jitokeze kupiga kuraSawa katumbuliwa ila tushajua kumbe michakato tayari, kwahiyo hakuna haja ya kupanga foleni juani......au sio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jitokeze kupiga kuraSawa katumbuliwa ila tushajua kumbe michakato tayari, kwahiyo hakuna haja ya kupanga foleni juani......au sio
Shukrani...Uchaguzi wa 2020 walichakachua matokeo
Aaaah sitaki kuchoka jua na vumbi wakati michakato tayari....Jitokeze kupiga kura
Hebu ngoja nimuulize Lucas Mwamshamba ntakupa jibuSawa katumbuliwa ila tushajua kumbe michakato tayari, kwahiyo hakuna haja ya kupanga foleni juani......au sio
Kama vile wamesomewa ALBADRI na laana kuwakuta na kuanza kusema ukweli wa kilichokuwa kimefichwa. Hakika hadi mwakani mengi yatajulikana.Anatumbuliwa kwa kusema ukweli?
Mkuu wa wilaya amesema ukweli, Nape alisema ukweli, Samia hataki watu wajue ukweli.
Kwahiyo sikuhizi Mh. Rais hataki wananchi waambiwe ukweli kuhusu uchafu wa Serikali? Au anataka kusikia mama anapiga mwingi basi.Alizingua na kauli zake
Unaweza kukuta DRC congo, Rwanda,Burundi, Uganda wote hao wametushinda demokrasia ujue sio utani, tunaweza kujisifu uchaguzi wa amani kumbe hua kuna mambo ya kutishaDC katurahisishia kazi, hakuna haja ya kupanga foleni huko kupigwa jua.....nitatulia ndani
Hii ID yako mkuu imenikumbusha nyumbani… inainekana wewe ni wa bomani aiseeKama vile wamesomewa ALBADRI na laana kuwakuta na kuanza kusema ukweli wa kilichokuwa kimefichwa. Hakika hadi mwakani mengi yatajulikana.