P Pio Gama Pinto JF-Expert Member Joined Jul 15, 2022 Posts 285 Reaction score 251 Sep 2, 2024 #281 Ameenguliwa kwa kusema ukweli! SSH atuambie je alichosema huyu ni kweli au siyo? Au ameona aibu kwa siri kufichuliwa na huyu mjinga?
Ameenguliwa kwa kusema ukweli! SSH atuambie je alichosema huyu ni kweli au siyo? Au ameona aibu kwa siri kufichuliwa na huyu mjinga?
sengobad JF-Expert Member Joined Aug 13, 2017 Posts 9,008 Reaction score 8,788 Sep 2, 2024 #282 Intuition said: Kasema ukweli na kaadhibiwa kwa kusema ukweli.Watu mnaoiba kura na kufanya mambo ya ovyo..kama huyo alisema..kuna mambo walifanya misituni..tunaamini dhamira zenu zinawachoma, na mtatoka mmoja baada ya mmoja... Ukweli utasemwa tu Click to expand... DC ndio wale watekaji na wasiojulikana na inaonekana ameishafanya mambo makubwa ya kutisha ndio maana akasema yeye ni mtu asiyeogopa.
Intuition said: Kasema ukweli na kaadhibiwa kwa kusema ukweli.Watu mnaoiba kura na kufanya mambo ya ovyo..kama huyo alisema..kuna mambo walifanya misituni..tunaamini dhamira zenu zinawachoma, na mtatoka mmoja baada ya mmoja... Ukweli utasemwa tu Click to expand... DC ndio wale watekaji na wasiojulikana na inaonekana ameishafanya mambo makubwa ya kutisha ndio maana akasema yeye ni mtu asiyeogopa.
comte JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 9,019 Reaction score 6,825 Sep 3, 2024 #283 Makusanyo 2B fedha za maendeleo 90MILIONI View: https://www.youtube.com/watch?v=XruNIHL0UfY
Kinyungu JF-Expert Member Joined Apr 6, 2008 Posts 19,484 Reaction score 38,416 Sep 3, 2024 #284 comte said: Makusanyo 2B fedha za maendeleo 90MILIONI View: https://www.youtube.com/watch?v=XruNIHL0UfY Click to expand... Too late...mambo yameshaharibika
comte said: Makusanyo 2B fedha za maendeleo 90MILIONI View: https://www.youtube.com/watch?v=XruNIHL0UfY Click to expand... Too late...mambo yameshaharibika
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Sep 3, 2024 #285 comte said: Makusanyo 2B fedha za maendeleo 90MILIONI View: https://www.youtube.com/watch?v=XruNIHL0UfY Click to expand... Huyu Jamaa ni msemakweli ndio kosa lake.
comte said: Makusanyo 2B fedha za maendeleo 90MILIONI View: https://www.youtube.com/watch?v=XruNIHL0UfY Click to expand... Huyu Jamaa ni msemakweli ndio kosa lake.
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Nov 26, 2024 #286 Mrao keryo said: Alifanyaje? Click to expand... https://www.facebook.com/ View: https://www.facebook.com/reel/713035914337490 CC Lucas Mwashambwa
Mrao keryo said: Alifanyaje? Click to expand... https://www.facebook.com/ View: https://www.facebook.com/reel/713035914337490 CC Lucas Mwashambwa
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Nov 26, 2024 #287 Pio Gama Pinto said: Ameenguliwa kwa kusema ukweli! SSH atuambie je alichosema huyu ni kweli au siyo? Au ameona aibu kwa siri kufichuliwa na huyu mjinga? Click to expand... Alionewa tu arejeshwe
Pio Gama Pinto said: Ameenguliwa kwa kusema ukweli! SSH atuambie je alichosema huyu ni kweli au siyo? Au ameona aibu kwa siri kufichuliwa na huyu mjinga? Click to expand... Alionewa tu arejeshwe